Tetesi: Jack Tuyisenge atua nchini kumalizana na Mo Dewji

Tetesi: Jack Tuyisenge atua nchini kumalizana na Mo Dewji

Wachezaji wa Vita kule mbele wanalipwa mishahara dollar 15000-20000 sasa Tanzania level yetu ni wakina kagere dollar 7000 simba itafika level hiyo ikiendelea kushiriki makundi Club bingwa
Tatizo la timu za bongo zikianza kuishambulia timu moja kuchukua wachezaji wake ni hapo hapo. Wakati yanga ilipokuwa kwenye peak akili zao zilikuwa zimbabwe hasa platnum tuu , huu ugojwa simba wameambukizwa. Kama ana hela pale AS VITa kuna mitambo ambayo sii ya dunia hii ina speed na vipawa[/QUOTE
 
Mbona hawako AFCON
Mbona hujaniuliza kuhusu Zambia, Togo, Sudan yenye Al Hilal au Burkina Faso ambazo zina soka?Rwanda sio pekee ambayo haipo AFCON. BTW wanaofuatilia soka la EA kiwango cha Tuisenge na Kagere (kwa uwezo wa kusajiri wa Simba) sio cha kuhoji ni cha kupigia mstari tu.
 
Kwa taarifa nilizo sikia asubuhi kwenye redio moja kwenye kipindi cha michezo zinasema na yeye anaungana na kikosi cha Simba kinacho kwenda mjini Morogoro kujiandaa na mchezo kati yao na Mbao Fc.

Sent using Jamii Forums mobile app
Redio mbao hizo,bado ana mkataba Gor Mahia,yeye na Ajib watatangazwa rasmi kujiunga mikataba yao ikiisha July mwaka huu
 
Habari njema sana kwetu Wana Msimbazi

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Write your reply...tuyisenge mwenyewe alikuwa ni yule wa police fc ya huko kwao Rwanda huyu wa gor anamalizia tuu soka lake
 
Back
Top Bottom