Tetesi: Jezi mpya za Yanga hazitatolewa mpaka stock ya jezi za zamani iuzwe yote

Tetesi: Jezi mpya za Yanga hazitatolewa mpaka stock ya jezi za zamani iuzwe yote

Mashabiki wa Yanga awanapesa wala morali ya kununua jezi,mijezi ya msimu uliopita imedoda,na gsm inataka angalau apate hata nusu asara.
kuwekeza kwa Yanga ni asara kubwa sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbumbumbu fc wanahangaika sana izi ni dalili nzuri kwa wananchi

MANYANI FC
MANYANI FC 1.jpg
 
Back
Top Bottom