Tetesi: Jezi mpya za Yanga hazitatolewa mpaka stock ya jezi za zamani iuzwe yote

Tetesi: Jezi mpya za Yanga hazitatolewa mpaka stock ya jezi za zamani iuzwe yote

Pole sana kwa maumivu uyapatayo kutokana na Yanga + GSM!
 
Itakuwa feki.. maana gsm kagoma kutoa jezi mpya.. mpaka leo hazijatangazwa popote.. na sikukuu ya wananchi kesho
Kuna jamaa yetu shabiki lialia nataka nimfotoe picha moja anasema niache ukudah[emoji38],

Ule mstari wa katikati haujakoza kama wa mwanzo,, wa sasa una vidoa vidoa pemben yake,,

Namuuliza umenunua wapi anekunja ndita[emoji38]

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Huyo engeneer leo alikua anahojiwa na media tena live alipoulizwa kuhusu jezi akadai jezi mpaka next week..
 
Jezi wanasema zimechelewa kutoka China, stock inakuja. Hi pia ni failure!
 
Huyo engeneer leo alikua anahojiwa na media tena live alipoulizwa kuhusu jezi akadai jezi mpaka next week..
118599924_2174861369325420_4832956066370312104_n.jpg

sanaa mwako kati na mwisho
 
Habari wadau

Inasemekana gsm wamegoma kutoa jezi mpya mpaka za zamani ziishe..
Mkuu una elimu gani?? Kwamba GSM kwa ukubwa wa KAMPUNI ILE HAWAELEWI KITU KINAITWA CLOSING STOCK NA OPENING STOCK? Kwamba wao closing stock lazma iwe ZERO? ACHA UFALA BASI. VINGINE MUWE MNATUMIA AKILI SIO MATAKO. KAMA HAMNA CHA KUPOST BORA HATA UPIGE NYETO MKUU.
 
Wewe nae unashindwa kuleta hoja upinge hoja unaishia kutoa lugha ya ajabu tu! Ungeishia hapo kwenye closing stock kuwa Zero ungeeleweka zaidi!
 
Engineer kaongea kwenye redio ,amesema walikubaliana kusajili ila mishahara yanga watalipa wenyewe maana wao wana udhamini wa makampuni mengine kama sportpesa
Hayo maneno umeyasikia wapi mkuu?
 
Wewe nae unashindwa kuleta hoja upinge hoja unaishia kutoa lugha ya ajabu tu! Ungeishia hapo kwenye closing stock kuwa Zero ungeeleweka zaidi!
Ndio upumbavu wenu. Mtu anapost bila kutumia akili
 
Back
Top Bottom