Tetesi: Jimbo la Kawe Wazi!. Ubunge wa Gwajiboy Kwenye Hati Hati!. Umehang Kwenye Utando wa Buibui!. Ama Achanje Asalimike, Akikomaa, Amwagwa!.

Muda unaenda kwa kasi kubwa sana pascal wewe ni mtu wa kutoa tetesi kweli! Tena tetesi za udaku.
 
Swali kwa gwaji boy ni kwamba tunachaaanja au hatuchaaanji?[emoji23][emoji23]
 
Jiandae kuchukua nafasi ya polepole maana nae ameshaweka msimamo kuwa hachanji. Kila la heri Bw. Paskali.
 
Wangemtoa jiwe wakat anaongoza mapambano ya kupinga chanjo ya Covid-19!!

CCM wengi ni wanafki sana
 
Nadhani jimbo linarudi kwa Halima na atavua gwanda rasmi na kuvaa kijano njano.

Hii ya gwajima ilibidi iwe hivyo na ikizingatiwa wasukuma sasa hawana nafasi na yeye kajitengenezea nyavu mwenyewe ya kujinasa. Yaani watoto wa sifa politan mtoni wanasema " Kajipiga mkuki mwenyewe".

Lakini huyu jamaa kama asipotulia ataleta kelele nyingi sana. He is very controversial character. Hata JPM hakumkubali sana gwajima sema sababu ya character yake ya ubwakubwaku na kelele nyingi kupitia madhabahu ilibidi amtulize tuu awepo ndani ya team ya ushindi. Namuona akirudi chadema na kuongeza nguvu kwenye harakati za katiba mpya. Na.anaweza akalianzisha na Kifo cha magufuli maana huwa anapenda kiki sana.
 
Kagombee tena mkuu zamu hii yako

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Wewe siyo kada Ila ni opportunist Kama Zitto. Ikitokea chadema wakashika dola itahamia chadema
 

Wewe kama professional journalist, is this not disservice to the profession? Ni sahihi kuishia hapa ulipoishia?
 
Paskali acha kuleta mkanganyiko..

Hata kama ni kweli Gwaji boy anamwagwa sio kwa sababu hiyo....sababu pekee itakuwa ni kwenda tofauti na msimamo wa chama anachokitumikia pamoja na kupingana na mamlaka ilihali yeye ni mbunge wa chama ambacho serikali inatekeleza ilani yake...labda pia alipoitwa kuhojiwa hakutoa ushirikiano..

Kama ni kweli basi ni kheri tu maana hata Membe alifurushwa na yeye ni miongozi mwa walioshangilia..
 
Mkuu kwa uchache tutajie hayo masharti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…