chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
Mbona watakuwa wamemuonea Gwajiboy kwa sharti kama hilo. Kuchanja ni hiyari
Kilichomfanya sasa hivi imebaki historia tu. Ubishi na mambo ya Wazungu.Wangemtoa jiwe wakat anaongoza mapambano ya kupinga chanjo ya Covid-19!!
CCM wengi ni wanafki sana
Unawajua TISS vyema huyu atatiwa ndani halafu kuna wenyewe watamtimbia ndani watamfira huyo hatoweza tena kupayuka achana kbs kucheza na sirikali waulize akina nani sijui yule walimuokota ana hawasha. Ama muulize yule alikuwa CUF alifanywa nini.Nadhani jimbo linarudi kwa Halima na atavua gwanda rasmi na kuvaa kijano njano.
Hii ya gwajima ilibidi iwe hivyo na ikizingatiwa wasukuma sasa hawana nafasi na yeye kajitengenezea nyavu mwenyewe ya kujinasa. Yaani watoto wa sifa politan mtoni wanasema " Kajipiga mkuki mwenyewe".
Lakini huyu jamaa kama asipotulia ataleta kelele nyingi sana. He is very controversial character. Hata JPM hakumkubali sana gwajima sema sababu ya character yake ya ubwakubwaku na kelele nyingi kupitia madhabahu ilibidi amtulize tuu awepo ndani ya team ya ushindi. Namuona akirudi chadema na kuongeza nguvu kwenye harakati za katiba mpya. Na.anaweza akalianzisha na Kifo cha magufuli maana huwa anapenda kiki sana.
Pamoja na kuambulia kura moja bado unalitolea macho hilo bunge?Wanabodi,
Declaration of interest.
Kwa vile mimi ni kada wa Chama Cha Mapinduzi, CCM na niligombea ubunge wa jimbo la Kawe, na Wajumbe wakafanya yao, naomba bandiko hili lisichukuliwe kama fursa ya mimi kumchafua Gwajiboy ili atemwe, nigombee tena!. Naomba ku declare my interest, sina mpango wowote kugombea ubunge wa Kawe hata bure, Wajumbe walichonifanya ile 2020, kimenitosha, sitathubutu tena kujaribu.
Kuhusu Tetesi
Ni habari unazozisikia juu juu sio kutoka any reliable source.
Kwa msio fahamu, mimi na kampuni yangu ya PPR ni wahanga wa mdororo wa uchumi uliosababishwa na Covid 19. Hivyo nililazimika kuuza magari yote, na sasa usafiri wangu ni TZ 11, Boda Boda, Dala Dala na mara moja moja Uber na Bolti.
Leo nikaita Bolt fulani, kumbe ni bolt ya kada. Kada akaona jina langu, hivyo nilipoingia tuu ndani ya gari, dereva akanisalimia kwa kunichangamkia, na kuniuliza, vipi haujaribu tena?, jimbo limeisha tangazwa kichini chini liko wazi!. Askofu Gwajima amemwagwa rasmi, ila haijatangazwa rasmi!.
Mtoaji habari wangu akasema Salama pekee ya Askofu Gwajima kuendelea na ubunge wake wa Kawe ni kujitokeza kuchanjwa hadharani, vinginevyo, it's a gone case!.
"Hivyo kama bado uko interested na Kawe jimbo liko wazi wewe tuu!.
Nilimweleza ukweli wangu, I'm not interested!.
My Take.
Kama tetesi hii ni kweli, Askofu Gwajima kosa lake ni lipi?.
Kama ni msimamo wake kupinga chanjo ya Corona, kwa vile chanjo ni hiyari, wanao support Chanjo waeleze umuhimu wa chanjo.
Ila pia wapinga chanjo with facts, waruhusiwe kuipinga kwa facts na wasikilizwe.
Gwajima avuliwe ubunge kwa kosa lipi?. Hii tetesi itakuwa ni uongo tuu ila pia with Chama changu CCM, mambo ya fitna, majungu na zengwe, anything is possible!.
Lets wait and see.
Paskali
Bado ataambulia kura moja tuWe have nothing to do with that
Kachukue form mapema if you are interested bro.
Gwaji alilazimishwa na jiwe maana ni home boy wake kutokea kule koromitjeGwajiboy kuachia ubungee? Kanisa lake maybe sasa linajitahidi ila ubunge kwake ilikuwa another source of income. Hawezi achia kirahisi.. ila anyway.. time will tell
Adui muombee njaa si ndio?Wanabodi,
Declaration of interest.
Kwa vile mimi ni kada wa Chama Cha Mapinduzi, CCM na niligombea ubunge wa jimbo la Kawe, na Wajumbe wakafanya yao, naomba bandiko hili lisichukuliwe kama fursa ya mimi kumchafua Gwajiboy ili atemwe, nigombee tena!. Naomba ku declare my interest, sina mpango wowote kugombea ubunge wa Kawe hata bure, Wajumbe walichonifanya ile 2020, kimenitosha, sitathubutu tena kujaribu.
Kuhusu Tetesi
Ni habari unazozisikia juu juu sio kutoka any reliable source.
Kwa msio fahamu, mimi na kampuni yangu ya PPR ni wahanga wa mdororo wa uchumi uliosababishwa na Covid 19. Hivyo nililazimika kuuza magari yote, na sasa usafiri wangu ni TZ 11, Boda Boda, Dala Dala na mara moja moja Uber na Bolti.
Leo nikaita Bolt fulani, kumbe ni bolt ya kada. Kada akaona jina langu, hivyo nilipoingia tuu ndani ya gari, dereva akanisalimia kwa kunichangamkia, na kuniuliza, vipi haujaribu tena?, jimbo limeisha tangazwa kichini chini liko wazi!. Askofu Gwajima amemwagwa rasmi, ila haijatangazwa rasmi!.
Mtoaji habari wangu akasema Salama pekee ya Askofu Gwajima kuendelea na ubunge wake wa Kawe ni kujitokeza kuchanjwa hadharani, vinginevyo, it's a gone case!.
"Hivyo kama bado uko interested na Kawe jimbo liko wazi wewe tuu!.
Nilimweleza ukweli wangu, I'm not interested!.
My Take.
Kama tetesi hii ni kweli, Askofu Gwajima kosa lake ni lipi?.
Kama ni msimamo wake kupinga chanjo ya Corona, kwa vile chanjo ni hiyari, wanao support Chanjo waeleze umuhimu wa chanjo.
Ila pia wapinga chanjo with facts, waruhusiwe kuipinga kwa facts na wasikilizwe.
Gwajima avuliwe ubunge kwa kosa lipi?. Hii tetesi itakuwa ni uongo tuu ila pia with Chama changu CCM, mambo ya fitna, majungu na zengwe, anything is possible!.
Lets wait and see.
Paskali
Emdeleeni kukataa chanjo ili na sisi wachimba kaburi tuzidi kupata kazi za kutuingizia mkateSina shaka na tetesi zako...
Hii inaonyesha raia kuchanja kwa hiari muitikio umekuwa mdogo sana hivyo wanatafuta jinsi ya kulazimisha...
Binafsi nasimama na Gwajima mpaka mwisho, acha wamvue tu Ubunge ili ndani ya CCM tuone panapovuja.
Hela za Corona zinamasharti magumu sana.
Umeonaeeee?Mtajuana wenyewe na chama chenu kwanza hili bandiko lilipaswa liwe kwenye magroup ya nyinyiemu huko whatsapp na FB
Mkuu mwanasiasa kukushangaza ni sekunde tu, kama huamini subiri utakapomkuta gwaji boy kwenye foleni ya kuchanjaSina shaka na tetesi zako...
Hii inaonyesha raia kuchanja kwa hiari muitikio umekuwa mdogo sana hivyo wanatafuta jinsi ya kulazimisha...
Binafsi nasimama na Gwajima mpaka mwisho, acha wamvue tu Ubunge ili ndani ya CCM tuone panapovuja.
Hela za Corona zinamasharti magumu sana.
Hiari yenye ulazimaKila mtu ana haki juu ya mwili wake.
Maswala ya kulazimishana chanjo ni kinyume cha haki za binadamu.
Sio kila mahali watu wamechanja.
Chanjo ni hiari yenye lazima ndani yake.Kaka Paskali si tuliambiwa chanjo ni hiari!?
Sasa mbona hii shurti. Wamuondoe kwa mengine ila sio chanjo
Kwanza wewe siyo kada wa CCM Bali Ni CHAWA wa CCM,Wanabodi,