Tetesi: Jimbo la Kawe Wazi!. Ubunge wa Gwajiboy Kwenye Hati Hati!. Umehang Kwenye Utando wa Buibui!. Ama Achanje Asalimike, Akikomaa, Amwagwa!.

Mbona watakuwa wamemuonea Gwajiboy kwa sharti kama hilo la kumdhalilisha. Kuchanja ni hiyari na pia Gwajiboy alikuwa na msimano huu huu dhidi ya chanjo tangia enzi za Magufuli, nothing personal against Samia

In fact, Gwajima ndio ana intergrity kuliko wao ambao kipindi cha JPM waliponda chanjo na sawa wamebadili kauli

Yaani Polepole ambaye amefanya open rebellion mara nyingi licha ya kuonywa asifukuzwe afukuzwe Gwajima ?
 
Sheria itakuja, watoa huduma wote wa umma au binafsi lazima kuchanja, vinginevyo uta ruhusiwa kutoa huduma kwa kuwa utakuwa unahatarisha afya za uwahudumiao, hovyo kada zote kuanzia bar, wasanii, matabibu, madereva na makonda, wachungaji na mashehe, wenye migahawa na hotel, n.k.
Kama ataacha ubunge vipi uchungaji?
 
Heading ya thread ndefu kama riwaya.
Pascal Mayala, ungejikita kuuza kitabu chako sasa hivi ungekuwa na pesa.

Ona sasa unavyojiaibisha.
 
Nakumbuka Gwaji alivyo somba watu na magari yake ya kubebea waumini kanisani, Ilikuwa watu wanachukuliwa Bunju, Mbagala,Gongolamoto,Mbezi na kwingineko kuwapeleka Kawe wakajaze mikutano .

Nita shangaa kuona Gwaji akiachia ubunge kiulaini Kama nilivyo shangaa siku hizo askofu akicheza rafu ya siasa , kiongozi wa dini anaye paswa kuwa ni no moja kuhubiri Upendo,amani,mshikamano, na umoja.

Je! Atakubali gharama zake ziende hivyo hivyo??
 
Mambo huanza kama tetesi hivihivi,,ila itafika time tutajua ukweli...

Mkuu Pascal Mayalla wewe nae kwenye chama huna intelijensia yako kuweza kujua ukweli wa hizo info.
 
Nadhani jimbo linarudi kwa Halima na atavua gwanda rasmi na kuvaa kijano njano.

Hii ya gwajima ilibidi iwe hivyo na ikizingatiwa wasukuma sasa hawana nafasi na yeye kajitengenezea nyavu mwenyewe ya kujinasa. Yaani watoto wa sifa politan mtoni wanasema " Kajipiga mkuki mwenyewe".

Lakini huyu jamaa kama asipotulia ataleta kelele nyingi sana. He is very controversial character. Hata JPM hakumkubali sana gwajima sema sababu ya character yake ya ubwakubwaku na kelele nyingi kupitia madhabahu ilibidi amtulize tuu awepo ndani ya team ya ushindi. Namuona akirudi chadema na kuongeza nguvu kwenye harakati za katiba mpya. Na.anaweza akalianzisha na Kifo cha magufuli maana huwa anapenda kiki sana.
Unawajua TISS vyema huyu atatiwa ndani halafu kuna wenyewe watamtimbia ndani watamfira huyo hatoweza tena kupayuka achana kbs kucheza na sirikali waulize akina nani sijui yule walimuokota ana hawasha. Ama muulize yule alikuwa CUF alifanywa nini.
 
Wanabodi,

Declaration of interest.
Kwa vile mimi ni kada wa Chama Cha Mapinduzi, CCM na niligombea ubunge wa jimbo la Kawe, na Wajumbe wakafanya yao, naomba bandiko hili lisichukuliwe kama fursa ya mimi kumchafua Gwajiboy ili atemwe, nigombee tena!. Naomba ku declare my interest, sina mpango wowote kugombea ubunge wa Kawe hata bure, Wajumbe walichonifanya ile 2020, kimenitosha, sitathubutu tena kujaribu.

Kuhusu Tetesi
Ni habari unazozisikia juu juu sio kutoka any reliable source.

Kwa msio fahamu, mimi na kampuni yangu ya PPR ni wahanga wa mdororo wa uchumi uliosababishwa na Covid 19. Hivyo nililazimika kuuza magari yote, na sasa usafiri wangu ni TZ 11, Boda Boda, Dala Dala na mara moja moja Uber na Bolti.

Leo nikaita Bolt fulani, kumbe ni bolt ya kada. Kada akaona jina langu, hivyo nilipoingia tuu ndani ya gari, dereva akanisalimia kwa kunichangamkia, na kuniuliza, vipi haujaribu tena?, jimbo limeisha tangazwa kichini chini liko wazi!. Askofu Gwajima amemwagwa rasmi, ila haijatangazwa rasmi!.

Mtoaji habari wangu akasema Salama pekee ya Askofu Gwajima kuendelea na ubunge wake wa Kawe ni kujitokeza kuchanjwa hadharani, vinginevyo, it's a gone case!.

"Hivyo kama bado uko interested na Kawe jimbo liko wazi wewe tuu!.

Nilimweleza ukweli wangu, I'm not interested!.

My Take.
Kama tetesi hii ni kweli, Askofu Gwajima kosa lake ni lipi?.

Kama ni msimamo wake kupinga chanjo ya Corona, kwa vile chanjo ni hiyari, wanao support Chanjo waeleze umuhimu wa chanjo.

Ila pia wapinga chanjo with facts, waruhusiwe kuipinga kwa facts na wasikilizwe.

Gwajima avuliwe ubunge kwa kosa lipi?. Hii tetesi itakuwa ni uongo tuu ila pia with Chama changu CCM, mambo ya fitna, majungu na zengwe, anything is possible!.

Lets wait and see.

Paskali
Pamoja na kuambulia kura moja bado unalitolea macho hilo bunge?
 
Gwajiboy kuachia ubungee? Kanisa lake maybe sasa linajitahidi ila ubunge kwake ilikuwa another source of income. Hawezi achia kirahisi.. ila anyway.. time will tell
Gwaji alilazimishwa na jiwe maana ni home boy wake kutokea kule koromitje
 
Wanabodi,

Declaration of interest.
Kwa vile mimi ni kada wa Chama Cha Mapinduzi, CCM na niligombea ubunge wa jimbo la Kawe, na Wajumbe wakafanya yao, naomba bandiko hili lisichukuliwe kama fursa ya mimi kumchafua Gwajiboy ili atemwe, nigombee tena!. Naomba ku declare my interest, sina mpango wowote kugombea ubunge wa Kawe hata bure, Wajumbe walichonifanya ile 2020, kimenitosha, sitathubutu tena kujaribu.

Kuhusu Tetesi
Ni habari unazozisikia juu juu sio kutoka any reliable source.

Kwa msio fahamu, mimi na kampuni yangu ya PPR ni wahanga wa mdororo wa uchumi uliosababishwa na Covid 19. Hivyo nililazimika kuuza magari yote, na sasa usafiri wangu ni TZ 11, Boda Boda, Dala Dala na mara moja moja Uber na Bolti.

Leo nikaita Bolt fulani, kumbe ni bolt ya kada. Kada akaona jina langu, hivyo nilipoingia tuu ndani ya gari, dereva akanisalimia kwa kunichangamkia, na kuniuliza, vipi haujaribu tena?, jimbo limeisha tangazwa kichini chini liko wazi!. Askofu Gwajima amemwagwa rasmi, ila haijatangazwa rasmi!.

Mtoaji habari wangu akasema Salama pekee ya Askofu Gwajima kuendelea na ubunge wake wa Kawe ni kujitokeza kuchanjwa hadharani, vinginevyo, it's a gone case!.

"Hivyo kama bado uko interested na Kawe jimbo liko wazi wewe tuu!.

Nilimweleza ukweli wangu, I'm not interested!.

My Take.
Kama tetesi hii ni kweli, Askofu Gwajima kosa lake ni lipi?.

Kama ni msimamo wake kupinga chanjo ya Corona, kwa vile chanjo ni hiyari, wanao support Chanjo waeleze umuhimu wa chanjo.

Ila pia wapinga chanjo with facts, waruhusiwe kuipinga kwa facts na wasikilizwe.

Gwajima avuliwe ubunge kwa kosa lipi?. Hii tetesi itakuwa ni uongo tuu ila pia with Chama changu CCM, mambo ya fitna, majungu na zengwe, anything is possible!.

Lets wait and see.

Paskali
Adui muombee njaa si ndio?
 
Sina shaka na tetesi zako...

Hii inaonyesha raia kuchanja kwa hiari muitikio umekuwa mdogo sana hivyo wanatafuta jinsi ya kulazimisha...

Binafsi nasimama na Gwajima mpaka mwisho, acha wamvue tu Ubunge ili ndani ya CCM tuone panapovuja.

Hela za Corona zinamasharti magumu sana.
Emdeleeni kukataa chanjo ili na sisi wachimba kaburi tuzidi kupata kazi za kutuingizia mkate
 
Sina shaka na tetesi zako...

Hii inaonyesha raia kuchanja kwa hiari muitikio umekuwa mdogo sana hivyo wanatafuta jinsi ya kulazimisha...

Binafsi nasimama na Gwajima mpaka mwisho, acha wamvue tu Ubunge ili ndani ya CCM tuone panapovuja.

Hela za Corona zinamasharti magumu sana.
Mkuu mwanasiasa kukushangaza ni sekunde tu, kama huamini subiri utakapomkuta gwaji boy kwenye foleni ya kuchanja
 
Ishu ya gwajima ni mtambuka ..... kwa maana ccm wanaweza kuleta mpasuko mkubwa sana. ndani ya chama chao..
Ikubukwe nyuma ya gwajima kuna kundi kubwa la watu .. .ndani ya chama chao.
 
Wanabodi,

Declaration of interest.
Kwa vile mimi ni kada wa Chama Cha Mapinduzi, CCM na niligombea ubunge wa jimbo la Kawe, na Wajumbe wakafanya yao, naomba bandiko hili lisichukuliwe kama fursa ya mimi kumchafua Gwajiboy ili atemwe, nigombee tena!. Naomba ku declare my interest, sina mpango wowote kugombea ubunge wa Kawe hata bure, Wajumbe walichonifanya ile 2020, kimenitosha, sitathubutu tena kujaribu.

Kuhusu Tetesi
Ni habari unazozisikia juu juu sio kutoka any reliable source.

Kwa msio fahamu, mimi na kampuni yangu ya PPR ni wahanga wa mdororo wa uchumi uliosababishwa na Covid 19. Hivyo nililazimika kuuza magari yote, na sasa usafiri wangu ni TZ 11, Boda Boda, Dala Dala na mara moja moja Uber na Bolti.

Leo nikaita Bolt fulani, kumbe ni bolt ya kada. Kada akaona jina langu, hivyo nilipoingia tuu ndani ya gari, dereva akanisalimia kwa kunichangamkia, na kuniuliza, vipi haujaribu tena?, jimbo limeisha tangazwa kichini chini liko wazi!. Askofu Gwajima amemwagwa rasmi, ila haijatangazwa rasmi!.

Mtoaji habari wangu akasema Salama pekee ya Askofu Gwajima kuendelea na ubunge wake wa Kawe ni kujitokeza kuchanjwa hadharani, vinginevyo, it's a gone case!.

"Hivyo kama bado uko interested na Kawe jimbo liko wazi wewe tuu!.

Nilimweleza ukweli wangu, I'm not interested!.

My Take.
Kama tetesi hii ni kweli, Askofu Gwajima kosa lake ni lipi?.

Kama ni msimamo wake kupinga chanjo ya Corona, kwa vile chanjo ni hiyari, wanao support Chanjo waeleze umuhimu wa chanjo.

Ila pia wapinga chanjo with facts, waruhusiwe kuipinga kwa facts na wasikilizwe.

Gwajima avuliwe ubunge kwa kosa lipi?. Hii tetesi itakuwa ni uongo tuu ila pia with Chama changu CCM, mambo ya fitna, majungu na zengwe, anything is possible!.

Lets wait and see.

Paskali
Kwanza wewe siyo kada wa CCM Bali Ni CHAWA wa CCM,
Pili wewe hukugombea Jimbo la kawe,Bali ulichukuwa fomu ya kura ya maoni kwenye ccm. na ukapata kura moja.
 
Back
Top Bottom