Tetesi: Jimbo la Kawe Wazi!. Ubunge wa Gwajiboy Kwenye Hati Hati!. Umehang Kwenye Utando wa Buibui!. Ama Achanje Asalimike, Akikomaa, Amwagwa!.

Angalau leo nimekubaliana nawe kuhusu chama chako.Sifa ulizokipa ni zake hawa, fitna,mizengwe, uzushi, sayansi jamii, hata kupona na kupotezana mnaweza na unafiki kama kachumbari yenu. Hongera kwa hilo.
 
hawezi pokwa jimbo kirahisi ivo wewe!!...ndo kwaaanz watampa kichwa na Umaarufu !! wasijaribu huo ujinga wa kitoto! lkn weee jamaa nilikuona mtu makini lkn sasa naona paskali unazeeka sasa......
 

Halima akivaa kijani huko Kawe itabidi kura za maboksi zitumike kumpitisha.

Gwajima siasa ndio basi tena. Waliomweka CCM na Kawe (jiwe na bashite) hawapo kwenye ramani tena. Bora aendelee na kipaji chake cha kugawa ufufuo na uzima tu.
 
Gwajima is dead and buried!
 
Chanjo ni bora maradufu kuliko kutochanja.....
 
Ubunge anavuliwa kwa sheria ipi? Si tulikubaliana mtu anaweza kuwa mbunge bila chama cc. Covid 19.

Sheria ni msumeno jana kwa CHADEMA leo ni zamu ya CCM.
 
Kuna vitu huwa vinashangaza sana, Kanisani kwa Gwajima wanakaa kwa mara moja zaidi ya watu elfu nne na hakuna hata mmoja anae vaa barakoa wala alietangaza kuchanja.

Tangu Korona itangazwe duniani hakuna anae vaa barakoa sasa kama hiyo korona ni tishio kama inavyoimbwa si ingeua wale waumini na kama wangekuwa wanaugua au kufa amini nakuambia hakuna mtu angeenda pale maana kila mmoja angetaka kuokoa maisha yake lakini kwasababu wanaendelea kwenda kwa wingi uleule jua ya kuwa aidha imani yao na Mungu wao ni thabiti au Korona ni stori ya kutengeneza ili watu wapige hela.

CCM wamegeuka madalali wa kuuza na kutangaza chanjo za korona ili wapate mikopo ni aibu sana watu haohao mwezi January walikuwa hawakubali kabisa kuhusu chanjo wala Korona leo hii ndio madalali wa chanjo.
 
Emdeleeni kukataa chanjo ili na sisi wachimba kaburi tuzidi kupata kazi za kutuingizia mkate
Watatu kati ya kumi wanaokufa kwa korona wamechanjwa hivyo kuchanjwa hakuzuii kufa wala kuugua na ukweli ni kuwa itakubidi uchanje kila baada ya miezi 12 ili kuboost chanjo.
 
Unadhani kuchalala kwako kumesababishwa na corona au ni siasa za kishamba za awamu ya 5 zilizosababisha wenye hela kujiondokea zao ?
 
mwandishi nguli kama wewe sio wa kutuletea habari ambazo vyanzo vyake sio reliable!
mkongwe katika tasnia umeshindwa kufanya uchunguzi na kutuletea habari kamili?
Hii ni anguko kwako, wewe sio wa kutuletea tetesi humu jf
 
Chalz mwenzio kala uteuzi ikulu sijui wewe watakukumbuka lini
 
We endelea kusimamanae, lakini tunamfukuza chamani
 
Huu ni unafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…