NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Kama tetesi hizi zitakua ni za kweli Basi tutegemee kuona ushindani wa hali wa juu katika mpira wetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kombe gani unalolizungumzia?Kwa hiyo baada ya kushindwa huko bondeni hakuna timu nyingine Afrika nzima hii na Uarabuni inayomtaka hadi anaenda kula vumbi huko Singida? Hivi hili kombe linatambulika na CAF kweli au tumepigwa changa la macho?
Kombe la losers alitambue nani, CAF? Manara aka Ashura Cheupe mwenyewe halitambui ndiyo iwe CAF?Kwa hiyo baada ya kushindwa huko bondeni hakuna timu nyingine Afrika nzima hii na Uarabuni inayomtaka hadi anaenda kula vumbi huko Singida? Hivi hili kombe linatambulika na CAF kweli au tumepigwa changa la macho?
Ukocha ni professional adimu na adhimu.Kwa hiyo baada ya kushindwa huko bondeni hakuna timu nyingine Afrika nzima hii na Uarabuni inayomtaka hadi anaenda kula vumbi huko Singida? Hivi hili kombe linatambulika na CAF kweli au tumepigwa changa la macho?
Hapa hata Mimi simuelewi, labda hizi ndio changamoto zenyewe alizotaka.Aisee kutoka kwa madiba mpaka porini singida? Au alijiita profesa kumbe profesa uchwara?
sahau hiyo kitu nabi anatakiwa na esperance ndio atakuja singida,?Kama tetesi hizi zitakua ni za kweli Basi tutegemee kuona ushindani wa hali wa juu katika mpira wetu.View attachment 2673475
Ameshindwa vip, unaweza fafanua?Kwa hiyo baada ya kushindwa huko bondeni hakuna timu nyingine Afrika nzima hii na Uarabuni inayomtaka hadi anaenda kula vumbi huko Singida? Hivi hili kombe linatambulika na CAF kweli au tumepigwa changa la macho?
Haya maneno baadae sijui mtaweka wapi sura zenuWanaoujua mpira wamempima Nabi wakaona ni galasa!! wakaachana nalo!! Kombe la losers haliwezi kumpaisha kocha yeyote hata akiifikisha timu fainali!!
Nabi angeifikisha Yanga fainali ya klabu bingwa naamini angegombaniwa na timu nyingi kubwa ndani na nje ya bara hili la Afrika.Kwa hiyo baada ya kushindwa huko bondeni hakuna timu nyingine Afrika nzima hii na Uarabuni inayomtaka hadi anaenda kula vumbi huko Singida? Hivi hili kombe linatambulika na CAF kweli au tumepigwa changa la macho?
Singida haina wachezaji wa kaliba ya waluokuwa utopolo enzi za Nabi... Akienda kule anaenda kudhihirisha kuwa yeye ni kocha wa kawaida tu, wachezaji walimbeba sana.Kama tetesi hizi zitakua ni za kweli Basi tutegemee kuona ushindani wa hali wa juu katika mpira wetu.View attachment 2673475
haumuoni mnyama akicheza na wydad casablanca.au unadhani wydad ni wamatumbi.?Kwa hiyo baada ya kushindwa huko bondeni hakuna timu nyingine Afrika nzima hii na Uarabuni inayomtaka hadi anaenda kula vumbi huko Singida? Hivi hili kombe linatambulika na CAF kweli au tumepigwa changa la macho?
azam ina high profile coach kwa sasa,nabi anaenda esperanceNabi naoumba arudi ligi yetu na ikibidi aifundishe AZAM au Hawa SFG Ili kupata ladha halisi ya pira maana kumekua na haka ka DOMINATION ka Simba na yanga hua sikapendi kabisaa.