Tetesi: Kuna uwezekano mkubwa Kocha Nabbi kutua Singida Fountain gate Fc

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Kama tetesi hizi zitakua ni za kweli Basi tutegemee kuona ushindani wa hali wa juu katika mpira wetu.
1682312048857.jpg
 
Kwa hiyo baada ya kushindwa huko bondeni hakuna timu nyingine Afrika nzima hii na Uarabuni inayomtaka hadi anaenda kula vumbi huko Singida? Hivi hili kombe linatambulika na CAF kweli au tumepigwa changa la macho?
 
Nabi naoumba arudi ligi yetu na ikibidi aifundishe AZAM au Hawa SFG Ili kupata ladha halisi ya pira maana kumekua na haka ka DOMINATION ka Simba na yanga hua sikapendi kabisaa.
 
Kwa hiyo baada ya kushindwa huko bondeni hakuna timu nyingine Afrika nzima hii na Uarabuni inayomtaka hadi anaenda kula vumbi huko Singida? Hivi hili kombe linatambulika na CAF kweli au tumepigwa changa la macho?
Kombe gani unalolizungumzia?
 
Kwa hiyo baada ya kushindwa huko bondeni hakuna timu nyingine Afrika nzima hii na Uarabuni inayomtaka hadi anaenda kula vumbi huko Singida? Hivi hili kombe linatambulika na CAF kweli au tumepigwa changa la macho?
Kombe la losers alitambue nani, CAF? Manara aka Ashura Cheupe mwenyewe halitambui ndiyo iwe CAF?
 
Kwa hiyo baada ya kushindwa huko bondeni hakuna timu nyingine Afrika nzima hii na Uarabuni inayomtaka hadi anaenda kula vumbi huko Singida? Hivi hili kombe linatambulika na CAF kweli au tumepigwa changa la macho?
Ukocha ni professional adimu na adhimu.
Kocha haokotwi tu wakati wowote na mtu yoyote, si changudoa wa OHIO STREET yule.
 
Wanaoujua mpira wamempima Nabi wakaona ni galasa!! wakaachana nalo!! Kombe la losers haliwezi kumpaisha kocha yeyote hata akiifikisha timu fainali!!
 
Kwa hiyo baada ya kushindwa huko bondeni hakuna timu nyingine Afrika nzima hii na Uarabuni inayomtaka hadi anaenda kula vumbi huko Singida? Hivi hili kombe linatambulika na CAF kweli au tumepigwa changa la macho?
Ameshindwa vip, unaweza fafanua?
 
Wanaoujua mpira wamempima Nabi wakaona ni galasa!! wakaachana nalo!! Kombe la losers haliwezi kumpaisha kocha yeyote hata akiifikisha timu fainali!!
Haya maneno baadae sijui mtaweka wapi sura zenu
 
Kwa hiyo baada ya kushindwa huko bondeni hakuna timu nyingine Afrika nzima hii na Uarabuni inayomtaka hadi anaenda kula vumbi huko Singida? Hivi hili kombe linatambulika na CAF kweli au tumepigwa changa la macho?
Nabi angeifikisha Yanga fainali ya klabu bingwa naamini angegombaniwa na timu nyingi kubwa ndani na nje ya bara hili la Afrika.

Lakini kwakuwa aliwafikisha uto fainali ya kombe la losers ambalo halijulikani popote siioni nafasi yake kufundisha vilabu vikubwa tofauti na Singida
 
Kama tetesi hizi zitakua ni za kweli Basi tutegemee kuona ushindani wa hali wa juu katika mpira wetu.View attachment 2673475
Singida haina wachezaji wa kaliba ya waluokuwa utopolo enzi za Nabi... Akienda kule anaenda kudhihirisha kuwa yeye ni kocha wa kawaida tu, wachezaji walimbeba sana.

Na yeye sio mjinga kihivyo achafue CV yake kirahisirahisi...
 
Kwa hiyo baada ya kushindwa huko bondeni hakuna timu nyingine Afrika nzima hii na Uarabuni inayomtaka hadi anaenda kula vumbi huko Singida? Hivi hili kombe linatambulika na CAF kweli au tumepigwa changa la macho?
haumuoni mnyama akicheza na wydad casablanca.au unadhani wydad ni wamatumbi.?
 
Back
Top Bottom