sio kuogopa mkuu.Kumbe Netanyau nae amehepa,
hawa wayahudi sijui kwanini waoga kiasi hiki,
yaani anakuja kenya kwa kuvizia vizia anaogopa sniper
Wangempopoa na mishale ingependeza zaidi.
Morani are making a political statement kwa rais asiyetambua uhusioana wa maasai Kenya na Tanzania.Hao morani wana akili za ajabu kweli.... Walikuwa na hakika kwamba angekwenda kwa gari?
Intelejensia yetu