Tetesi kwamba vijana wa Kimaasai walikua wamejiandaa kumzuia Magufuli

Tetesi kwamba vijana wa Kimaasai walikua wamejiandaa kumzuia Magufuli

Kumbe Netanyau nae amehepa,
hawa wayahudi sijui kwanini waoga kiasi hiki,
yaani anakuja kenya kwa kuvizia vizia anaogopa sniper
 
Kumbe Netanyau nae amehepa,
hawa wayahudi sijui kwanini waoga kiasi hiki,
yaani anakuja kenya kwa kuvizia vizia anaogopa sniper
sio kuogopa mkuu.
hata mm mwenyewe pia nimeususia huo mkutano kwani haukuwa na maana yoyote
 
kwani alikuwa anatoka Dar hadi Nairobi kwa gari? idiots tafuteni sababu nyingine
 
Hahaha wambie walete ng'ombe tena! Pumbavu zao badala ya kudai ardhi yao iliyoporwa na Wakikuyu wanang'ang'ania kuchunga Tanzania. Sisi mwendo wa mnada tu!
 
Hao morani wana akili za ajabu kweli.... Walikuwa na hakika kwamba angekwenda kwa gari?
 
Intelejensia yetu haikuruhusu Magufuli kuwepo na wala sio lazima
 
Choices have consequences. Kwa hili la kunadi ngombe wa jirani magu amekosea.
 
Angeebda kwa ndege hao wamasai wangemzuiaje? Wanatafuta excuse tu
 
Intelejensia yetu
IMG_20160615_192642_828.JPG
 
Back
Top Bottom