Tetesi matokeo ya kidato cha nne 2012

Tetesi matokeo ya kidato cha nne 2012

Japhet Davies

Member
Joined
May 12, 2013
Posts
71
Reaction score
8
Hivi kuna ukweli wowote kwamba matokeo yata tolewa wiki ijayo??

Wakuu mwenye tetesi naomba anijuze
 
Unaharaka sanaaa?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hivi kuna ukweli wowote kwamba matokeo yata tolewa wiki ijayo??

Wakuu mwenye tetesi naomba anijuze

wewe nawe punguza spidi,kila siku hapa unakuja na hoja hii..!unataka tetesi za matokeo ili zikusaidie nn?yakitoka utasikia tu..tulia kijana
 
wewe nawe punguza spidi,kila siku hapa unakuja na hoja hii..!unataka tetesi za matokeo ili zikusaidie nn?yakitoka utasikia tu..tulia kijana

Zingekuwa hazina msaada nisinge ulizia mkuu
 
Zingekuwa hazina msaada nisinge ulizia mkuu

Unaelewa maana ya tetesi? .tetesi ni habari ambazo hazina uhakika, sasa wewe habari za matokeo zisizo na uhakika zitakusaidia nini au unalazimisha watu wakudanganye ili uridhike?

Kama ulipata div 5 (zero ) usitegemee mabadiliko ya kukufanya uende form 5.
 
Unaelewa maana ya
tetesi? .tetesi ni habari ambazo hazina uhakika, sasa wewe habari za
matokeo zisizo na uhakika zitakusaidia nini au unalazimisha watu
wakudanganye ili uridhike?.kama ulipata div 5 (zero ) usitegemee
mabadiliko ya kukufanya uende form 5.

Tatizo chalii mbishi sana,labda hzo tetesi zitamsaidi kuimbia aibu hii ya pili,maana huenda alilalama sana kuwa amepata zero kwa kuwa mwl wao wa biology alihama toka kpnd yupo fm2.!
 
saiv wapo kwenye editing,msiwe na haraka movie inakaribia kuingia sokon,get ready 4 season 2
 
wana jf matokeo bado sana madogo msipanic coz mnalekebishiwa kazi bado ni ngum sana mtegemee wa sita mwanzoni.
 
Hahahaaaa!? Sasa akisha kaa porini alafu ndio iweje?

ndo hapo sasa labda aliwe na wanyama!
wakuu ukichangia hoja jaribu kufikiria kwanza sio unaropoka tu from nowhere,huyo kijana hajakosea kama alikosea ni kumrekebisha na sio kumkejeli kiasi hicho! kumbuka leo kwake kesho kwako!
 
Unaelewa maana ya tetesi? .tetesi ni habari ambazo hazina uhakika, sasa wewe habari za matokeo zisizo na uhakika zitakusaidia nini au unalazimisha watu wakudanganye ili uridhike?.kama ulipata div 5 (zero ) usitegemee mabadiliko ya kukufanya uende form 5.

Safi sana naona una kumbushia jinsi ulivyo score ulipokuwa O.level

dvs five(5)!! Sasa sijui shule uli endaga kufanya nini?!!
 
ndo hapo sasa labda aliwe na wanyama!
wakuu ukichangia hoja jaribu kufikiria kwanza sio unaropoka tu from nowhere,huyo kijana hajakosea kama alikosea ni kumrekebisha na sio kumkejeli kiasi hicho! kumbuka leo kwake kesho kwako!

Ume nena mkuu
 
Mabango yamezidi humu Jf jamani kiasi kwamba Jf imegeuka kuwa jukwaa la mabango na matusi utafikiri tuko dodoma!!!!!
 
Back
Top Bottom