johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hizi ni habari njema kwa wapenda demokrasia, wapenda mabadiliko na wapenda maendeleo wote kwamba mh Mbowe endapo atachaguliwa tena kuwa Mwenyekiti basi atakaa madarakani kwa mwaka mmoja tu kisha atajiuzulu na kumuachia uongozi Tundu Antipas Lissu.
Mtoa habari wangu ambaye sitamtaja kwa sasa hadi hapo baadae ameniambia Mbowe binafsi anajisikia kung'atuka lakini kuna mambo ya kukamilisha kwanza na muhimu ni kuhakikisha Chadema inapata wabunge na madiwani wa kutosha katika uchaguzi mkuu.
Mwenyekiti anataka kuiacha Chadema ikiwa na rekodi bora zaidi kuizidi ile iliyosababishwa na ujio wa mzee Lowassa mwaka 2015, amesisitiza kamanda huyo wa Chadema.
Maendeleo hayana vyama!