Tetesi: Mbowe kustaafu Uenyekiti Chadema Desemba 2020 na kumwachia kijiti makamu wake Tundu Lissu

Tetesi: Mbowe kustaafu Uenyekiti Chadema Desemba 2020 na kumwachia kijiti makamu wake Tundu Lissu

Ukilala unamuota mbowe....
Wakati unakula unamfikiria mbowe....
Ukiwa unaoga na kukata gogo unamuwaza mbow..
Kweli mbowe kakukaa sanaa

Ova
 
Mkuu Yohana Mbatizaji, kama hii tetesi ni kweli, then ataondoka kwa aibu na huku amenyongonyea sana, kwasababu ule wembe uliotumika kuwanyolea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, ni ule ule utatumika uchaguzi wa 2020.

I'm afraid, kwa 2020, the time left is too little too late!.


Hata yeye tu mwenyewe kuretain jimbo la Hai ni mashaka!. Mbunge mtarajiwa wa Hai kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, CCM ni huyu...


Hivyo atakachokabidhi hiyo 2020 sio Chadema kama chama, bali ni skeleton ya iliyokuwa chama cha Chadema!.

P
😀😀😀😀 bora umewambia maana yajayo yanafurahisha
 
Back
Top Bottom