hivi ni kipi kilichopo kwa huyo mzee Mgaya cha muhimu sana hadi jamaa amtumie muda wote, au huyo Mgaya ameifanyia nuni Tanzania hii hadi muda wote atumue mawazo yake?
Jamaa ameoa kwa mzee Mgaya, hivyo anampa promo baba mkwe wake hapa jf. Ila si haba maana mkewe akiona uzi kuhusu maoni ya baba yake, jamaa anazidi kuboresha penzi huko nyumbani.
Mbona ameshindwa kuwapata wajumbe na wenyeviti wa serikali za mitaa? Kwenye uchaguzi mkuu atakuwa na tume yake huru ya uchaguzi? Kama hakuna majibu ya maswali haya 2, na kama kauli yako hii ni ya kweli basi Mbowe atakuwa anawaongopea wenzake.
Hizi ni habari njema kwa wapenda demokrasia, wapenda mabadiliko na wapenda maendeleo wote kwamba mh Mbowe endapo atachaguliwa tena kuwa Mwenyekiti basi atakaa madarakani kwa mwaka mmoja tu kisha atajiuzulu na kumuachia uongozi Tundu Antipas Lisu.
Mtoa habari wangu ambaye sitamtaja kwa sasa hadi hapo baadae ameniambia Mbowe binafsi anajisikia kung'atuka lakini kuna mambo ya kukamilisha kwanza na muhimu ni kuhakikisha Chadema inapata wabunge na madiwani wa kutosha katika uchaguzi mkuu.
Mwenyekiti anataka kuiacha Chadema ikiwa na rekodi bora zaidi kuizidi ile iliyosababishwa na ujio wa mzee Lowassa mwaka 2015, amesisitiza kamanda huyo wa Chadema.
Kuna watu kama wewe........ unapata ahueni!
Mbowe atawaumiza sana. Huwezi kumwachia mtu "mpuuzi" chama kama mlivyofanya kumwachia huyo ambaye chama sasa ni mali yake kama kuku wake kijijini! Chama umpe Mwambe, wapi na wapi? Utoke CCM kwa vile wamekutema, uje CDM upewe chama, NEVER! Nenda kwa Zito, TLP au rudi nyumbani CCM!
Kuna watu kama wewe........ unapata ahueni!
Mbowe atawaumiza sana. Huwezi kumwachia mtu "mpuuzi" chama kama mlivyofanya kumwachia huyo ambaye chama sasa ni mali yake kama kuku wake kijijini! Chama umpe Mwambe, wapi na wapi? Utoke CCM kwa vile wamekutema, uje CDM upewe chama, NEVER! Nenda kwa Zito, TLP au rudi nyumbani CCM!
hivi ni kipi kilichopo kwa huyo mzee Mgaya cha muhimu sana hadi jamaa amtumie muda wote, au huyo Mgaya ameifanyia nuni Tanzania hii hadi muda wote atumue mawazo yake?
Jamaa ameoa kwa mzee Mgaya, hivyo anampa promo baba mkwe wake hapa jf. Ila si haba maana mkewe akiona uzi kuhusu maoni ya baba yake, jamaa anazidi kuboresha penzi huko nyumbani.
Mkuu Yohana Mbatizaji, kama hii tetesi ni kweli, then ataondoka kwa aibu na huku amenyongonyea sana, kwasababu ule wembe uliotumika kuwanyolea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, ni ule ule utatumika uchaguzi wa 2020.
I'm afraid, kwa 2020, the time left is too little too late!.
Wanabodi, Kuna msemo wa Waswahili usemao, " Mwanzo wa ngoma ni lele" na "Dalili ya Mvua ni Mawingu". Tukubali, tukatae, huu ushindi wa kishindo cha Magufuli, cha asilimia 99.9% kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, ni mawingu tuu ya dalili za mvua, lakini mvua yenyewe ni Uchaguzi Mkuu wa 2020...
Wanabodi. Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja? Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo...
www.jamiiforums.com
Hata yeye tu mwenyewe kuretain jimbo la Hai ni mashaka!. Mbunge mtarajiwa wa Hai kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, CCM ni huyu...
Wanabodi, Declaration of Interest Jerry Murro, namfahamu vizuri, sio tuu kama mwandishi na mtangazaji mwenzagu, bali tangu alipokuwa UDSM, utangazaji wangu ndio ulikuwa inspiration kwake kuingia fani ya utangazaji, hivyo hapa namsifu sio kwa sababu namjua au kutaka kumfagilia, bali baada ya...
www.jamiiforums.com
Hivyo atakachokabidhi hiyo 2020 sio Chadema kama chama, bali ni skeleton ya iliyokuwa chama cha Chadema!.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.