johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mbowe anawachanganya akili sana
Mkuu Yohana Mbatizaji, kama hii tetesi ni kweli, then ataondoka kwa aibu na huku amenyongonyea sana, kwasababu ule wembe uliotumika kuwanyolea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, ni ule ule utatumika uchaguzi wa 2020.Mbowe binafsi anang'atuka lakini kuna mambo muhimu ni kuhakikisha Chadema inapata wabunge na madiwani wa kutosha katika uchaguzi mkuu.
Magufuli kurudisha trillion 1.5 alizopiga kabla 2020 haijafika.Hizi ni habari njema kwa wapenda demokrasia, wapenda mabadiliko na wapenda maendeleo wote kwamba mh Mbowe endapo atachaguliwa tena kuwa Mwenyekiti basi atakaa madarakani kwa mwaka mmoja tu kisha atajiuzulu na kumuachia uongozi Tundu Antipas Lisu.
Mtoa habari wangu ambaye sitamtaja kwa sasa hadi hapo baadae ameniambia Mbowe binafsi anajisikia kung'atuka lakini kuna mambo ya kukamilisha kwanza na muhimu ni kuhakikisha Chadema inapata wabunge na madiwani wa kutosha katika uchaguzi mkuu.
Mwenyekiti anataka kuiacha Chadema ikiwa na rekodi bora zaidi kuizidi ile iliyosababishwa na ujio wa mzee Lowassa mwaka 2015, amesisitiza kamanda huyo wa Chadema.
Maendeleo hayana vyama!
I'm afraid, kwa 2020, the time left is too little too late!.
Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?
Wanabodi. Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja? Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo...www.jamiiforums.com
Hata yeye tu mwenyewe kuretain jimbo la Hai ni mashaka!. Mbunge mtarajiwa wa Hai kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, CCM ni huyu...
Kiukweli kabisa, DC Jerry Murro, yuko vizuri!, ni visionary leader mwenye vision, mission, uwezo na kipaji. Anastahili kuwa RC, atakuwa kama Mtaka!.
Wanabodi, Declaration of Interest Jerry Murro, namfahamu vizuri, sio tuu kama mwandishi na mtangazaji mwenzagu, bali tangu alipokuwa UDSM, utangazaji wangu ndio ulikuwa inspiration kwake kuingia fani ya utangazaji, hivyo hapa namsifu sio kwa sababu namjua au kutaka kumfagilia, bali baada ya...www.jamiiforums.com
P
Hizi ni habari njema kwa wapenda demokrasia, wapenda mabadiliko na wapenda maendeleo wote kwamba mh Mbowe endapo atachaguliwa tena kuwa Mwenyekiti basi atakaa madarakani kwa mwaka mmoja tu kisha atajiuzulu na kumuachia uongozi Tundu Antipas Lisu.
Mtoa habari wangu ambaye sitamtaja kwa sasa hadi hapo baadae ameniambia Mbowe binafsi anajisikia kung'atuka lakini kuna mambo ya kukamilisha kwanza na muhimu ni kuhakikisha Chadema inapata wabunge na madiwani wa kutosha katika uchaguzi mkuu.
Mwenyekiti anataka kuiacha Chadema ikiwa na rekodi bora zaidi kuizidi ile iliyosababishwa na ujio wa mzee Lowassa mwaka 2015, amesisitiza kamanda huyo wa Chadema.
Maendeleo hayana vyama!
Membe vipi ataachiwa nae agombeePwagu na Pwaguzi. Kama ni kweli, si aachie tu sasa hivi?
Membe vipi ataachiwa nae agombee
Sina sababu ya kutoamini Habari kwa sababu ruzuku itakuwa imeisha.Kwa hiyo Chadema hakitakuwa na mvuto tena
You are missing the point!Membe vipi ataachiwa nae agombee
Umeleta huu uzi hapa jukwaani, je umewauliza mzee Mgaya na mchungaji Erasto kuhusu hizi tetesi? Mbona unajiamulia mambo bila kuwashirikisha hao jamaa?
we mama wa kizaramo umezidi umbea ¡¡Its too much yaan unamtaja Mbowe mara nyingi kuliko mumeo aliyekutolea mahali? You're such à shamelessly woman.Hizi ni habari njema kwa wapenda demokrasia, wapenda mabadiliko na wapenda maendeleo wote kwamba mh Mbowe endapo atachaguliwa tena kuwa Mwenyekiti basi atakaa madarakani kwa mwaka mmoja tu kisha atajiuzulu na kumuachia uongozi Tundu Antipas Lisu.