Mkuu Yohana Mbatizaji, kama hii tetesi ni kweli, then ataondoka kwa aibu na huku amenyongonyea sana, kwasababu ule wembe uliotumika kuwanyolea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, ni ule ule utatumika uchaguzi wa 2020.
I'm afraid, kwa 2020, the time left is too little too late!.
Wanabodi, Kuna msemo wa Waswahili usemao, " Mwanzo wa ngoma ni lele" na "Dalili ya Mvua ni Mawingu". Tukubali, tukatae, huu ushindi wa kishindo cha Magufuli, cha asilimia 99.9% kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, ni mawingu tuu ya dalili za mvua, lakini mvua yenyewe ni Uchaguzi Mkuu wa 2020...
Wanabodi. Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja? Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo...
Hata yeye tu mwenyewe kuretain jimbo la Hai ni mashaka!. Mbunge mtarajiwa wa Hai kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, CCM ni huyu...
Wanabodi, Declaration of Interest Jerry Murro, namfahamu vizuri, sio tuu kama mwandishi na mtangazaji mwenzagu, bali tangu alipokuwa UDSM, utangazaji wangu ndio ulikuwa inspiration kwake kuingia fani ya utangazaji, hivyo hapa namsifu sio kwa sababu namjua au kutaka kumfagilia, bali baada ya...
Hivyo atakachokabidhi hiyo 2020 sio Chadema kama chama, bali ni skeleton ya iliyokuwa chama cha Chadema!.
P