Tetesi: Mo Dewji, Azam na GSM wamejenga uwanja unaotarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni.

Unaeza kutusaidia hata picha kdg
 
huo uwanja ni kichekesho wakati napita hapo nilikaribia niuone, upo kando ya barabara ya kwenda ilongero/mtinko, Singida DC. Kwa sasa sijui ukoje, labda AIRTEL wameupaka rangi na kujenga majukwa na pichi nzuri, ila upo vichakani nje ya mji wa Singida
Na kuweka viti vya vyuma watu wakae
 
Ili wasamehe kodi na mwenye timu ni hiyo ni rushwa kubwa na ya wazi kama ni kweli!
 
Elezea kidogo miundombinu ya uwanja. Una ukubwa gani (una uwezo wa kuingia watu wangapi?) Una viwango vya kimataifa? Utafaa kuchezewa mechi za caf zijazo?
Na eneo ulipo tukapate ajira ya kumwaga zege
 
Umejengwa au umenunuliwa ukaletwa na Meli mpaka Singida?. Hii habari ungesubiri tar 1 April.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…