Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Unaeza kutusaidia hata picha kdgKwa wasiojua huo uwanja uko kilometa kadhaa nje ya mji wa singida kijiji cha igauri kuelekea ilongero. Uwanja upo peke yake vichakani labda watu watajenga vitega uchumi vyao jirani na uwanja angalau ionekane ni senta. Kwa uzinduzi huo mashabiki watasafiri kwenda huko nje ya mji na watazoea tu kwenda huko kunako mechi za singida black stars