Tetesi: Mo Dewji, Azam na GSM wamejenga uwanja unaotarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni.

Tetesi: Mo Dewji, Azam na GSM wamejenga uwanja unaotarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni.

Kwa wasiojua huo uwanja uko kilometa kadhaa nje ya mji wa singida kijiji cha igauri kuelekea ilongero. Uwanja upo peke yake vichakani labda watu watajenga vitega uchumi vyao jirani na uwanja angalau ionekane ni senta. Kwa uzinduzi huo mashabiki watasafiri kwenda huko nje ya mji na watazoea tu kwenda huko kunako mechi za singida black stars
Unaeza kutusaidia hata picha kdg
 
huo uwanja ni kichekesho wakati napita hapo nilikaribia niuone, upo kando ya barabara ya kwenda ilongero/mtinko, Singida DC. Kwa sasa sijui ukoje, labda AIRTEL wameupaka rangi na kujenga majukwa na pichi nzuri, ila upo vichakani nje ya mji wa Singida
Na kuweka viti vya vyuma watu wakae
 
Timu ya Singida Black Stars inatarajia kuzindua uwanja wake mkoani Singida, uzinduzi utafanyika Marchi 24 kwa mchezo wa Kirafiki dhidi ya Yanga SC.

Uwanja unaitwa AIRTEL STADIUM ambao wao ndio wameujenga kwa kushirikiana na wengine kama Azam, GSM, NBC, SBS na MO DEWJI.

Credit: Nassib Mkomwa
Ili wasamehe kodi na mwenye timu ni hiyo ni rushwa kubwa na ya wazi kama ni kweli!
 
Elezea kidogo miundombinu ya uwanja. Una ukubwa gani (una uwezo wa kuingia watu wangapi?) Una viwango vya kimataifa? Utafaa kuchezewa mechi za caf zijazo?
Na eneo ulipo tukapate ajira ya kumwaga zege
 
Umejengwa au umenunuliwa ukaletwa na Meli mpaka Singida?. Hii habari ungesubiri tar 1 April.
 
Back
Top Bottom