maatope
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 1,422
- 957
Habari zilizotapakaa magomeni ni kwamba mtangazaji mmoja wa clouds fm na clouds tv alikuwepo siku ile zungu la unga chonji lilipovamiwa na polisi.
Inasemekana na yeye alikuwa anapaki mzigo ila alifanikiwa kuruka ukuta na kukimbia kwa spidi ya ajabu
uzuri ni kwamba huwa anaonekana kwenye tv na watu wakamtambua...ni mweupe, anaongea kwa maringo sana
na jina lake linaanza na AN na la pili linaanza na NU
hustle or die tryin