TETESI: Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu kujiuzulu muda wowote kuanzia sasa

Ha ha haaaa.., Jitahidi sana kijana wangu uwe na akili, akili hiyo itakuwezesha kupata mafanikio na utaondokana na umasikini. Ila ukiendelea na akili zako hizo shauli yako wakati hata chakurithi hapo kwenu hakuna.
Sema last born unajua kubagaza kama umekulia Buza [emoji23] [emoji23]
 
Una uhakika na unachokisema hapa bibie?
 
Unaanza kuharisha uharo kama kawaida yako.
 
Sema last born unajua kubagaza kama umekulia Buza [emoji23] [emoji23]
Utajuwa wew.., maana wakuja siku zote huwa mnajifanya wajuaji kumbe hamnamo. Kukaa kwa shemeji yako hapo na wew ukaona umeyawin. Tafuta fuedha, tafuta fuedha tafuta fuedha kijana. Naamin kabisa wew ni more than regular people 100%.
 
Utajuwa wew.., maana wakuja siku zote huwa mnajifanya wajuaji kumbe hamnamo. Kukaa kwa shemeji yako hapo na wew ukaona umeyawin. Tafuta fuedha, tafuta fuedha tafuta fuedha kijana. Naamin kabisa wew ni more than regular people 100%.
Mimi hata kwenye watu 'regular' sipo lakini sio lofa kama wewe na ulast born wako [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Si mlimchagua wenyewe baada ya kumleta Manzoki??

Na alisema aliwaahidi kumchapa mtani na alimchapa, mkampa kura zenu mkisema hamumdai na hana baya( kama ilivyo desturi yenu).

Leo mnamgeuka tena dooh
Sikilza Bro Simba hapendwi mtu..

Simba tunahitaji ushindi ..

Simba siyo ya kupigwa goli 5 na Yanga..

Mangungu asepe tena mapema tu ....aachie ngazi.
 
Inawezekana
 
Ndo maana TFF imesogeza mbele mechi yetu against Azam ili tumalize kwanza hili la akina Mangungu.

Na hawatoki hivi hivi. Wanatoka kwa bakora wakawaonyeshe wake zao huko home. Nyambafu!
Ikiwezekana Wanachama wafike klabuni watekeleze hili mkuu...Huyo Mangungu na Try again wanastahili bakora za kutosha kabisa
 
Sajilini Wachezaji wazuri acheni kuokoteza na kutafuta visababu.
 
Tatizo kubwa la Simba linaanza na MO Dewji,atimuliwe,ni tapeli huyo
 
duji na jaribu tena waondoke,watuachie timu yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…