Uhakiki
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 7,288
- 7,704
Sema last born unajua kubagaza kama umekulia Buza [emoji23] [emoji23]Ha ha haaaa.., Jitahidi sana kijana wangu uwe na akili, akili hiyo itakuwezesha kupata mafanikio na utaondokana na umasikini. Ila ukiendelea na akili zako hizo shauli yako wakati hata chakurithi hapo kwenu hakuna.