𝗕𝗔𝗗𝗢 𝗛𝗔𝗝𝗔𝗠𝗦𝗘𝗠𝗔 𝗠𝗔𝗞𝗢𝗟𝗢
Huko ukoloni kumechafuka [emoji1][emoji1] Mwenyekiti amepewa muda ajiuzulu mwenywe bila shuruti
Hii imeenda bado sasa wenye timu yao marafiki wa [emoji881] HAWAMTAKI mwenyekiti wao upande wa wanachama.leo saa 11 jioni uso kwa uso na mwekezaji.
#NOTE Nipo na nyie kwa bega kwa bega.Huyu Tege alikuwa swaiba wake sana mwenyekiti wa wanachama.[emoji23]
NB;Nitakuwepo posta leo kusubiri huu ubuyu.....labda mniueeee Makolo...
[emoji776][emoji776][emoji776]
Cc: Castor Yanga news
View attachment 2806827