Tetesi: Simba SC kutumia New Amaan Stadium

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
Chini ya kapeti, Uongozi wamepeleka ombi hilo kuwa wanahitaji kutumia uwanja huo kwa mechi zake za nyumbani baada ya ule wa UHURU kufungiwa.
 
GENTAMYCINE
Hatimae mapendekezo yako yameskika
@GENTAMYCINE Yeye Anaamini Azam Watu Wametoa Kafara Ila Kwa Timu Ungaunga Ile Hata Huko Aman Complex Vipigo Vitawahusu.


Juzi Wameshindwa Kuzungumza Sera Na Mitazamo Chanya Juu Ya Timu Yao Wameishia Kutukanana.


Ni Jambo Zuri Maana Ni Uwanja Mzuri Kwa Sasa Naamini Hata Team Zingine Zitakuwa Na Malengo Hayo.
 
Uto wapo chamazi na chamazi haijafungiwa
Kwa ligi za NBC Chamazi unaruhusiwa ila kama kwa mkapa mpk cafcl inaanza bado uko ktk ukarabati ni ngumu kutumia chamazi itabidi wahame tu na wao
 
Simba imekaa kinyonge sana wakati mwingine. Hivi pamoja na kujipendekeza kote kwa wanasiasa, viongozi wameshindwa kushawishi mamlaka husika ili Simba iendelee kutumia uwanja wa Mkapa hata kipindi cha marekebisho hadi inatangatanga kama chokoraa?
 
Uchawi wa Kufuru uliofanywa na Yanga SC hapo kwa Kushirikiana na Azan FC kupitia Tajiri wa Azam Yusuf Bakhressa ambaye ni mwana Yanga SC Kindakindaki.

Je, una Swali lingine tena ili nikujibu?
Mbona Simba Queens anashinda pale kila siku tena mara nyingine wanawafunga hao hao Yanga? Au huo uchawi unafanya kazi pale tu ukuta wa yeriko ukiwa uwanjani? Embu nielimishe ulozi unafanyaje kazi kwenye mpira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…