Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mpira ufundi na sio kufukia vitu!Wataweza kufukia vitu vyao kweli huko kwa mayakhe?
Uto wapo chamazi na chamazi haijafungiwaBasi UTOPOLO NAO wataiga
mpira ufundi na sio kufukia vitu!
Nini kinaikimbiza Simba Azam Complex?Punguza urozi
@GENTAMYCINE Yeye Anaamini Azam Watu Wametoa Kafara Ila Kwa Timu Ungaunga Ile Hata Huko Aman Complex Vipigo Vitawahusu.GENTAMYCINE
Hatimae mapendekezo yako yameskika
Kwa ligi za NBC Chamazi unaruhusiwa ila kama kwa mkapa mpk cafcl inaanza bado uko ktk ukarabati ni ngumu kutumia chamazi itabidi wahame tu na waoUto wapo chamazi na chamazi haijafungiwa
Swali zuri sanaWamewafikiria timu pinzani kuhusu gharama za usafiri na malazi mjini unguja kutoka bara (kama huo uwanja utahusu game za ligi NBC)
Kwa mkapa mechi za cacl na derby ya kariakoo zinaruhusiwa kuchezwaKwa ligi za NBC Chamazi unaruhusiwa ila kama kwa mkapa mpk cafcl inaanza bado uko ktk ukarabati ni ngumu kutumia chamazi itabidi wahame tu na wao
Nashukuru kama wamenielewa vyema.GENTAMYCINE
Hatimae mapendekezo yako yameskika
Uchawi wa Kufuru uliofanywa na Yanga SC hapo kwa Kushirikiana na Azan FC kupitia Tajiri wa Azam Yusuf Bakhressa ambaye ni mwana Yanga SC Kindakindaki.
Mbona Simba Queens anashinda pale kila siku tena mara nyingine wanawafunga hao hao Yanga? Au huo uchawi unafanya kazi pale tu ukuta wa yeriko ukiwa uwanjani? Embu nielimishe ulozi unafanyaje kazi kwenye mpira.Uchawi wa Kufuru uliofanywa na Yanga SC hapo kwa Kushirikiana na Azan FC kupitia Tajiri wa Azam Yusuf Bakhressa ambaye ni mwana Yanga SC Kindakindaki.
Je, una Swali lingine tena ili nikujibu?