Uchaguzi 2020 [Tetesi] Sussan Kiwanga anusurika kipigo kisa kumpigia kampeni Nyalandu

*Kutoka Mlimani City*

Mbunge Wa Mlimba Susan Kiwanga Anusulika Kipigo Kutoka Kwa Vijana Wa Chadema Wakiongozwa Na Francis Garatwa,Akituhumiwa Kumfanyia Kampeni Nyalandu

Mama anataka kuchomoa Ventilator
Video tuwekee tujionee wenyewe
 
*Kutoka Mlimani City*

Mbunge Wa Mlimba Susan Kiwanga Anusulika Kipigo Kutoka Kwa Vijana Wa Chadema Wakiongozwa Na Francis Garatwa,Akituhumiwa Kumfanyia Kampeni Nyalandu

Mama anataka kuchomoa Ventilator

Fake news
 
Kama Ni kweli Ni jambo baya.Viongozi Wa chadema tendeni haki kwa wagombea wote, kila MTU apewe haki saw a.kemeeni vitendo vya kupandikiza chuki, tarajio letu wote mtoke pamoja muwe timu moja...
 
Kwahiyo baada ya kuwa hivyo taifa limefaidika vipi?

Back
Top Bottom