Uchaguzi 2020 [Tetesi] Sussan Kiwanga anusurika kipigo kisa kumpigia kampeni Nyalandu

Uchaguzi 2020 [Tetesi] Sussan Kiwanga anusurika kipigo kisa kumpigia kampeni Nyalandu

Naona Mataga mbinu zao zimeisha,mmeyatumia Mataga mwenzenu kina Silinde,Lijua Likali imeshindikana.
 
FAKE NEWS!

Bavicha huwa mnabichekesha kujifanya ni malaika hii taarifa ingekuwa ya CCM msingelisema fake news....

Kulikoni chama cha demokrasia na maendeleo kupigana?
 
*Kutoka Mlimani City*

Mbunge Wa Mlimba Susan Kiwanga Anusulika Kipigo Kutoka Kwa Vijana Wa Chadema Wakiongozwa Na Francis Garatwa,Akituhumiwa Kumfanyia Kampeni Nyalandu

Mama anataka kuchomoa Ventilator
hata wangemuacha tu lissu lazima apite tu alafu ni busara nyarandu anajua tu kwa sasa watanzaia wanataka nini so vyema Kesho akamuunge mkono ndugu yake ,kwa kufanya hivyo atakua amejitengenezea sifa kubwa sana why mnajenga nyumba moja mna gombea fito ?
ushauri Kesho wagombea wote Kesho jitoe muungeni lissu basi
 
Kama Ni kweli Ni jambo baya.Viongozi Wa chadema tendeni haki kwa wagombea wote, kila MTU apewe haki saw a.kemeeni vitendo vya kupandikiza chuki, tarajio letu wote mtoke pamoja muwe timu moja...
Mbowe anamtaka Nyalandu, vijana wanamtaka Lissu
 
*Kutoka Mlimani City*

Mbunge Wa Mlimba Susan Kiwanga Anusulika Kipigo Kutoka Kwa Vijana Wa Chadema Wakiongozwa Na Francis Garatwa,Akituhumiwa Kumfanyia Kampeni Nyalandu

Mama anataka kuchomoa Ventilator
Ila mashabiki wa ccm mnahangaika kweli na chadema
 
*Kutoka Mlimani City*

Mbunge Wa Mlimba Susan Kiwanga Anusulika Kipigo Kutoka Kwa Vijana Wa Chadema Wakiongozwa Na Francis Garatwa,Akituhumiwa Kumfanyia Kampeni Nyalandu

Mama anataka kuchomoa Ventilator
Jitahidi kuwa na tabia sahihi, na hebu yote uyatendayo, kwamba yanaonekana na kutambuliwa na macho ya kibinadamu au la, yatendwe kwa kusudi moja tu la utukufu wa Mungu, kwa sababu wewe ni wa Mungu naye amekukomboa kwa bei ya uhai wake. Uwe mwaminifu katika yaliyo madogo na pia kwa yaliyo makubwa; jifunze kuongea ukweli, kutenda lililo kweli kila wakati.
 
Back
Top Bottom