Uchaguzi 2020 [Tetesi] Sussan Kiwanga anusurika kipigo kisa kumpigia kampeni Nyalandu

*Kutoka Mlimani City*

Mbunge Wa Mlimba Susan Kiwanga Anusulika Kipigo Kutoka Kwa Vijana Wa Chadema Wakiongozwa Na Francis Garatwa,Akituhumiwa Kumfanyia Kampeni Nyalandu

Mama anataka kuchomoa Ventilator
Ndio chama Cha demokrasia hicho
 
Kama Ni kweli Ni jambo baya.Viongozi Wa chadema tendeni haki kwa wagombea wote, kila MTU apewe haki saw a.kemeeni vitendo vya kupandikiza chuki, tarajio letu wote mtoke pamoja muwe timu moja...
Usiamini huo upuuzi wa mleta mada. Huyo mbunge ni muungaji mkono wa TAL iwe jua iwe mvua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*Kutoka Mlimani City*

Mbunge Wa Mlimba Susan Kiwanga Anusulika Kipigo Kutoka Kwa Vijana Wa Chadema Wakiongozwa Na Francis Garatwa,Akituhumiwa Kumfanyia Kampeni Nyalandu

Mama anataka kuchomoa Ventilator
Kwanza huu mama mchawi sana
 
Sophia Simba wa Chadema. Ujue hapo Nyalandu kishampa pesa za kutosha. Huyo Nyalandu hata ikitokea kapitishwa hawezi kuwa Rais wa nchi hii.
 
Endeleen kuweweseka, chuma kimeshatua sibiri kiingie ulingon muanze kutafutana
 
Suzan Kiwangwa ndiye anamtaka Lissu kuliko yeyote yule ndani ya chama.. yani imebidi nicheke aisee
Huyu demu aliyechapwa na Nyalandu pale St Gaspel ataachaje kumchagua? Labda kama hakuweza kumfikisha kileleni.
 
*Kutoka Mlimani City*

Mbunge Wa Mlimba Susan Kiwanga Anusulika Kipigo Kutoka Kwa Vijana Wa Chadema Wakiongozwa Na Francis Garatwa,Akituhumiwa Kumfanyia Kampeni Nyalandu

Mama anataka kuchomoa Ventilator
Ikiwa hii ni kweli basi kuna kila dalili ya NCCR TANGA KUJIREJEA TENA!!
Tahadhari ni hekima kuu vinahitajika
 
Hapa Ufipa watakuja kupinga hadi omo imwagike.
 
*Kutoka Mlimani City*

Mbunge Wa Mlimba Susan Kiwanga Anusulika Kipigo Kutoka Kwa Vijana Wa Chadema Wakiongozwa Na Francis Garatwa,Akituhumiwa Kumfanyia Kampeni Nyalandu

Mama anataka kuchomoa Ventilator
Alikuwa Mbunge wa Mlimba, kwa sasa siyo Mbunge. Ina maana ndani ya Chadema hakuna demokrasia ya kumpigia mtu umpendaye kampeni? Nini maana ya neno Chadema?
 
*Kutoka Mlimani City*

Mbunge Wa Mlimba Susan Kiwanga Anusulika Kipigo Kutoka Kwa Vijana Wa Chadema Wakiongozwa Na Francis Garatwa,Akituhumiwa Kumfanyia Kampeni Nyalandu

Mama anataka kuchomoa Ventilator
Mbea zaidi ya demu
 
Hahahhaahahh maccm bwana, hayaishi kuzua viroja.
 
Back
Top Bottom