Tetesi: Tanzania Prisons (Wajelajela) Wadhalilishwa na RTO wa Iringa

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
POLICE na Magereza wote ni Wizara Moja, inasemekana huko kunako Prisons wamesafirishwa toka ifunda hadi Iringa mjini kituo cha POLICE. Prisons walikuwa safarini kwenda Mbeya wakitokea Kagera

Chanzo cha sakata ni mwendokasi wa dereva wa Prisons akiwa speed 90 badala ya speed 85.

Pamoja na kuombwa compromise RTO amegoma.

Mla nyama hula hata wa kwako na wa kwao .

Mwenye video clip aweke kisha moderators mtaondoa neno tetesi

Wabongo mbona mnachekesha sana? Kama ni magereza basi waruhusiwe kuvunja sheria? Mkigongwa unasikia magari ya serikali yanaendeshwa kitemi!
 
Mimi na ki ist changu tunamalizana hata kwa buku 10, hapo jamaa walileta jeuri bila shaka
 
Sheria ni msumeno. Magari ya Serikali na hata ya Mashirika ya Umma SU yanaendeshwa kibabe barabarani. Hongera RTO wa Iringa kwa kuhimiza wafuate Sheria za barabarani.
 
POLICE na Magereza wote ni Wizara Moja, inasemekana huko kunako Prisons wamesafirishwa toka ifunda hadi Iringa mjini kituo cha POLICE. Prisons walikuwa safarini kwenda Mbeya wakitokea Kagera

Chanzo cha sakata ni mwendokasi wa dereva wa Prisons akiwa speed 90 badala ya speed 85.

Pamoja na kuombwa compromise RTO amegoma.

Mla nyama hula hata wa kwako na wa kwao .

Mwenye video clip aweke kisha moderators mtaondoa neno tetesi

Pang Fung Mi
Sheria haiangalii cheo cha mtu, wamefsnya kosa,inabidi waadhibiwe, nchi nyingine Rais wa nchi anashitakiwa, huku kwetu watu wanaona ajabu askali magereza kushitakiwa! Polisi wengi ni form 4 failures, rejected products za secondary, manunda yaliyoshindwa kutoka, ndio huenda kuwa polisi,
 
Sasa hapo amedhalilishwa au waliokuwemo kwenye gari na watumiaji wengine wa barabara wamesaidiwa?
 
POLICE na Magereza wote ni Wizara Moja, inasemekana huko kunako Prisons wamesafirishwa toka ifunda hadi Iringa mjini kituo cha POLICE. Prisons walikuwa safarini kwenda Mbeya wakitokea Kagera

Chanzo cha sakata ni mwendokasi wa dereva wa Prisons akiwa speed 90 badala ya speed 85.

Pamoja na kuombwa compromise RTO amegoma.

Mla nyama hula hata wa kwako na wa kwao .

Mwenye video clip aweke kisha moderators mtaondoa neno tetesi

Pang Fung Mi
Sioni kosa la RTO labda kama kuna lingine ambalo haujaliandika.
 
  • Thanks
Reactions: Tui

Back
Top Bottom