Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Rejea nimeweka chanzo nimeboreshaSIJAELEWA HATA
As long as hauko kwenye operesheni maalumu ambayo huwa na kibali kutoka Ofsini au Amri halali. Kila mtu anatakiwa kufata Sheria za Kiraia.Polisi yupo sahihi, sheria ni kwa wote.
Ila je wangekuwa wajeda angethubutu.
Wabongo mbona mnachekesha sana? Kama ni magereza basi waruhusiwe kuvunja sheria? Mkigongwa unasikia magari ya serikali yanaendeshwa kitemi!POLICE na Magereza wote ni Wizara Moja, inasemekana huko kunako Prisons wamesafirishwa toka ifunda hadi Iringa mjini kituo cha POLICE. Prisons walikuwa safarini kwenda Mbeya wakitokea Kagera
Chanzo cha sakata ni mwendokasi wa dereva wa Prisons akiwa speed 90 badala ya speed 85.
Pamoja na kuombwa compromise RTO amegoma.
Mla nyama hula hata wa kwako na wa kwao .
Mwenye video clip aweke kisha moderators mtaondoa neno tetesi
Pang Fung Mi
Cheo GaniRto apandishwe cheo haraka
IgpCheo Gani
Sheria haiangalii cheo cha mtu, wamefsnya kosa,inabidi waadhibiwe, nchi nyingine Rais wa nchi anashitakiwa, huku kwetu watu wanaona ajabu askali magereza kushitakiwa! Polisi wengi ni form 4 failures, rejected products za secondary, manunda yaliyoshindwa kutoka, ndio huenda kuwa polisi,POLICE na Magereza wote ni Wizara Moja, inasemekana huko kunako Prisons wamesafirishwa toka ifunda hadi Iringa mjini kituo cha POLICE. Prisons walikuwa safarini kwenda Mbeya wakitokea Kagera
Chanzo cha sakata ni mwendokasi wa dereva wa Prisons akiwa speed 90 badala ya speed 85.
Pamoja na kuombwa compromise RTO amegoma.
Mla nyama hula hata wa kwako na wa kwao .
Mwenye video clip aweke kisha moderators mtaondoa neno tetesi
Pang Fung Mi
Hujaelewa nini?ina maana hujui kinachoongelewa hapo?uko nchi gani labda?SIJAELEWA HATA
Sioni kosa la RTO labda kama kuna lingine ambalo haujaliandika.POLICE na Magereza wote ni Wizara Moja, inasemekana huko kunako Prisons wamesafirishwa toka ifunda hadi Iringa mjini kituo cha POLICE. Prisons walikuwa safarini kwenda Mbeya wakitokea Kagera
Chanzo cha sakata ni mwendokasi wa dereva wa Prisons akiwa speed 90 badala ya speed 85.
Pamoja na kuombwa compromise RTO amegoma.
Mla nyama hula hata wa kwako na wa kwao .
Mwenye video clip aweke kisha moderators mtaondoa neno tetesi
Pang Fung Mi
POLICE na Magereza wote ni Wizara Moja, inasemekana huko kunako Prisons wamesafirishwa toka ifunda hadi Iringa mjini kituo cha POLICE. Prisons walikuwa safarini kwenda Mbeya wakitokea Kagera