Tetesi: Tanzania Prisons (Wajelajela) Wadhalilishwa na RTO wa Iringa

Hii lugha aliyotumia huyu ofisa wa Magereza ni utovu mkubwa wa adabu.Hakuna aliye juu ya sheria.Kuwa wizara moja hakulalalishi kuvunja shetia.
 
Hii lugha aliyotumia huyu ofisa wa Magereza ni utovu mkubwa wa adabu.Hakuna aliye juu ya sheria.Kuwa wizara moja hakulalalishi kuvunja shetia.
Kaa kimya hujui kitu
 
Huwezi ukarudishwa toka Ifunda hadi Mjini bila kumisbahave
 
Reactions: Tui
Yaelekea hao Magereza hawakuwa na hela ya kuhonga na siku RTO akifika Magereza kwa rushwa ataipata fresh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…