Tetesi:udsm yapunguza udahili kwa zaidi ya 30% katka mwaka wa masomo 2013/14.

Tetesi:udsm yapunguza udahili kwa zaidi ya 30% katka mwaka wa masomo 2013/14.

asa wewe ulyesoma special school mbona uliambulia kupata dv 3 na ukaishia kusoma ushirika lichuo ambalo ukienda hata kule mtwara wananchi wa kule hawalitambui?nimegundua unasumbuliwa na frustration kwamba ulikua na ndoto za kufika mjengoni cku moja bt umejikuta ndoto zako hazijatimia basi umeamua kutolea hasira zako hapo jukwaani.eti una one afu uwe muccobs?ckia narudia kukuambia tena kijana,wenye one zetu za ukweli tuko udsm,sua{main cumpus},mzumbe,muhmbili na udom.vyuo vingne vinachukua makapi tu..i have my friends wamesoma hzo unazoziita special schools,tena wamelabua one kali sana.

vijana walosoma special schools huwa wako very smart na huwez kuwakuta wanasoma vyuo uchwara kama ushirika.me nina wasiwasi wewe umesoma elimu ya ngumbaru na hapo ushirika ndo stahili yako kabisa.pole sana kwa kuwa kiazi dogo.

Mie nachekelea tu... Alivyokuwa anaiponda Udom mi nilifikiri yupo huko kwenu kumbe Muccobs...
 
nina jamaa angu anaitwa imma alikua kilaza wa vilaza na ana degree moja tu but cha kushangaza kuna cku nlimtembelea hapo ushirika nkamkuta eti anafundisha wanafunzi wa mwaka wa 3..nikajikuta nimeishiwa nguvu.yani TA anapga pindi tena anawapga mwaka wa 3,nikagundua hata elimu ya hapo ni ujinga mtupu.

Wewe unasema kweli... Kumbe usitukane mamba hujavuka mto... Alisema Udom chuo cha kata sasa nahisi Muccobs ni chuo cha kitongoji au mtaa... Ha ha ha
 
Wewe unasema kweli... Kumbe usitukane mamba hujavuka mto... Alisema Udom chuo cha kata sasa nahisi Muccobs ni chuo cha kitongoji au mtaa... Ha ha ha

achana na hilo bwabwa mkuu.toto jinga sana hilo,limekalia kudiscuss ujinga 2 humu jf.me nimeleta thread yangu kuwataarifu madogo wanaosubir majbu ya tcu kwamba what z happening at udsm lenyewe limekuja kuchakachua thread yangu.jinga sana hlo,ndo maana likawa ushirika.
 
Jamaa huwaga ana dharau sana huyo... Kila mtu kwake ni kilaza kumbe yeye ni kilaza plus plus... Chuo kizuri ni chake tu... Alafu kumbe Muccobs!
 
SIONGEI NA WATU WALIOPATA III FORM SIX NA FORMFOUR, MTU MWENYEWE UMESOMEA MINAKI SHULE SIJUI YA MIANNE HUKO,, ARUSHASEC SHULE YA ELFUNGAPI UKO CHINI SANA DADAPERry wewe umesoma mishule mibovu hata ukisikia unapata kichefuchefu
 
Jamaa huwaga ana dharau sana huyo... Kila mtu kwake ni kilaza kumbe yeye ni kilaza plus plus... Chuo kizuri ni chake tu... Alafu kumbe Muccobs!

WEE HUYO DADAPErRy ndio kilazaa sugu kasomea shulembovu, ukiangalia mim nimesomea mzumbe olevel yeye arushasec nani kichwa? ijulikane kwamba specialschool ili ujiunge lazma uwe umeongoza mkoa au wilaya ,, lakin shule kama arushasec hata maksi 120 wanaenda na vilaza
 
Amini usiamini huwezi kukuta divisionthree shule za vipaji maalumu lakini udsm mpaka three wapo ushahidi ninao marafiki zangu wapo hapo
 
SIONGEI NA WATU WALIOPATA III FORM SIX NA FORMFOUR, MTU MWENYEWE UMESOMEA MINAKI SHULE SIJUI YA MIANNE HUKO,, ARUSHASEC SHULE YA ELFUNGAPI UKO CHINI SANA DADAPERry wewe umesoma mishule mibovu hata ukisikia unapata kichefuchefu

ningekua na 3 nadhani ningekua ushirika kama wewe...afu watu watakucheka wewe,arusha sec ni moja ya shule nzuri hapa mkoani arusha nd i thnk every young student anakua na ndoto za kusoma pale,vile vile minaki ni shule nzuri ambayo mwanafunz yeyote hapa tz angependa kupitia mahali pale.sasa swali kwamba,mimi nakubali cjasoma hzo special school zako kama unavojitapa mwenyewe{ingawa nina uhakika kwa jnc akili yako ilvo mbovu hujasoma special school}mimi nimesoma shule za kawaida au za level ya kati bt nimeperform fresh hadi hii leo niko pale mjengoni,asa mbona wewe wa special school uko ushirika chuo ambacho hakina hadhi hata ya kuitwa chuo?
 
Jamaa huwaga ana dharau sana huyo... Kila mtu kwake ni kilaza kumbe yeye ni kilaza plus plus... Chuo kizuri ni chake tu... Alafu kumbe Muccobs!

achana na huyo punga mkuu,akili yake inahitaji marekebisho.
 
hata kama ni za kawaida.mbona wewe ulishndwa kuzipata,ukaishia kupelekwa huko muccobs chuo ambacho hadhi yake ni sawa na secondary ya kata?
sijasoma mucobs,, ila napenda kutok haki ,,,hiki chuo ambacho kipo kama sec mwaka jana kwa interview za kazi wizara ya fedha wameingiza vichwa viwili vya uhakiki mali,,njilo kimoja udsm hata m1 kati ya wa5.....sasa sijajua huo ubora wa chuo unakusuport nini ikiwa wewe utashindwa kuutetea, na nyie mnaosema nje tunawasubili,,,hatutaki jina la chuo ,tunataka ufanisi,,tena ukute wengine mko huko kwa sababu tu wazazi wenu wana pesa au rushwa sana mkapata ufadhili,,,,kama ni matokeo ya kwenda huko hata sisi tunayo ,siyo kuanza kuleteana tabia za kutambiana hapa,,,tuonyeshe umefanya nini siyo umesoma wapi,,,na kwa ufupi wengi humu wana elimu nzuri tu kwenye vyuo vizuri tu tena vya umma ambavyo ukifauru vibaya hata hawakuchukui,,,,,,acheni tambo wadau
 
Sababu kubwa ni
1}wengi wa applicants hawana sifa za kujiunga na udsm
2}kukabiliana na tatizo la accomodation.
3}ufinyu wa vyumba vya madarasa.
Source:mtu kutoka ofisi ya prof maboko{DVC-academic}

kuna jama zangu wawili,wote wana division one point 7,na mmoja two point kumi.vip hawa nao ni vilanza?😛out:
 
Back
Top Bottom