asa mbona wewe ulyesoma special school uko muccobs,afu ce 2losoma shule za kawaida 2ko udsm?nikunongoneze 2,nenda pale arusha sec kaulize kijana alyepiga dv one kali kwenye matokeo ya kidato cha 4 mwaka 2009 anaitwa nani,then uende tena pale minaki sec uulzie darasa la HGE lililomaliza mwaka 2012,ni kijana gani alifumua dv one kali.ukimalza huko kote ndo uje uanzishe ligi na mie..kubali we kilaza 2..vipanga wako udsm,mzumbe,muhmbili na sua{main cumpus}sio wewe uko cjui muccobs tena unasoma likozi la kiboya.pimbi wewe,jilaumu kwa kuwa kilaza hadi ukaishia huko ulikotupwa.by the way watu walosoma special schools huwa hawana mambo ya kike kama wewe..
hongera mkuu kwa kufaulu vizuri sana we ni kichwa,kwenye iyo combination unasomea kozi gani?jiandae mkuu kwa kujiajili hiyo comb kozi zake kupata ajira ni kizungumkuti,may be kama unasomea ualimu.
anyway elimu unayopata nategemea ikusaidie kuja kujiajili apo badae,
tofauti na apo utaishia kwenye frastruation mbaya hadi itabidi uzikane hizo one zako kali. nakuatakia masomo mema