Tetesi:udsm yapunguza udahili kwa zaidi ya 30% katka mwaka wa masomo 2013/14.

Tetesi:udsm yapunguza udahili kwa zaidi ya 30% katka mwaka wa masomo 2013/14.

NIMESOMEA SECONDARY ZA VIPAJI MAALUMU ,
WEWEE NIMESOMA SPECIAL SCHOOL FORM ONE MPAKA SIX NA KOTE NIMEPATA ONE , HALAFU HUNA AKILI UTAFANANISHAJE CHUOKIKUU NA SECMDARY MUCCoBS IMEANZISHWA MIAKA YA 60, NA NDIO CHUO PEKEE KINACHOFUNDISHA MASOMO YA USHIRIKA,

Ndugu unatumia nguvu nyingi sana ku-uaminisha umma we ni kipanga. Bora hizo nguvu ungezihifadhi na kuzitumia 2015 kupiga kampeni ungeweza pata hata udiwani.
 
Acheni ubishi Mi napajua udsm hamna mambulula kama vyuo vya kata na mi nisingepataga udsm nisingee
nda chuo kabisa....
 
sure thread ya kijinga na mleta thread mwenye ni mjinga

mjinga ni wewe na wana ukoo wako..ungekua kipanga ungesoma chuo cha kata pimbi wewe.wajanja wako udsm,sua,mzumbe na muhimbili,
 
mjinga ni wewe na wana ukoo wako..ungekua kipanga ungesoma chuo cha kata pimbi wewe.wajanja wako udsm,sua,mzumbe na muhimbili,
wee mimi nimesomea special school form one mpaka six ,
wewe ulikuwa unamuuliza zeduduz mwaka jana eti kozi za biashara wamechukua mpaka three ulikuwa na three mzembe wewe umesomea shule za kata form i mpaka 6, , au niulete uzi ule wa zeduduz uabike? Una rekodi chafu toka primary wewe umesoma shule za kataa,
 
mjinga ni wewe na wana ukoo wako..ungekua kipanga ungesoma chuo cha kata pimbi wewe.wajanja wako udsm,sua,mzumbe na muhimbili,

ONA JINS ALIVYOMJINGA! MUCCoBS NI CONSTITUENT COLlege ya SUA ,MJINGA WEWE UNA UELEWA UNAKURUPUKA TU ,
 
Wasomi hawatukani wewe. Sasa kwa hoja hizi tutakuwa na shaka tena na ubovu wa chuo chako? Btw sijui kwa nini mishipa inakutoka hivyo?

Msalimie Magigi ndie anayenipa uhakika kuwa hapo bado sana dogo
 
wee mimi nimesomea special school form one mpaka six ,
wewe ulikuwa unamuuliza zeduduz mwaka jana eti kozi za biashara wamechukua mpaka three ulikuwa na three mzembe wewe umesomea shule za kata form i mpaka 6, , au niulete uzi ule wa zeduduz uabike? Una rekodi chafu toka primary wewe umesoma shule za kataa,

Acha mbwembwe wewe. Division I ungeenda Ushirika? Come on! Majority hapo ni wazee wa III chafu chafu hata TIRDO hawawatambui.

We sema namshukuru Mungu nasoma. Haijalishi nafundishwa na kutahiniwa na TAs bora liende. Haijalishi wenye qualification za kuwa wahadhiri hawafundishi wanakula bata za Administrative posts, bora liende.

Hizi mbwembwe bwana mdogo hazitakusaidia.
 
UDSM is the no.1 versity in TZ. so lazma sifa za kujiunga ziwe tofauti na vyuo vingine.hawabebibebi hovyo kama UDOM na wengine wengi.

Kipapa wewe,,sifa zipi ambazo udsm wanazo ambazo zinapishana na za vyuo vingine,,,,,,tigo ww,,....think big,,,m2 mwnywe apo kozi unayo/ulosoma ud ni Baed,,,,hovyoooo
 
acha mbwembwe wewe. Division i ungeenda ushirika? Come on! Majority hapo ni wazee wa iii chafu chafu hata tirdo hawawatambui.

We sema namshukuru mungu nasoma. Haijalishi nafundishwa na kutahiniwa na tas bora liende. Haijalishi wenye qualification za kuwa wahadhiri hawafundishi wanakula bata za administrative posts, bora liende.

Hizi mbwembwe bwana mdogo hazitakusaidia.
wee unaongea nini mimi najaribu kubisha kwamba wanaosoma vyuo tofauti na udsm hawajapata one ,mimi ni product ya shule za vipaji maalumu na najivunia kusomea shule hizo, za vipaji, udsm mpaka three zipo , na hakuna chuo kikuu chochote tanzania ambacho hakichukui three ,kama kipo kitaje maskini wa hoja wewe, mimi ni kipaji kuanzia primary mpaka secondary
 
ONA JINS ALIVYOMJINGA! MUCCoBS NI CONSTITUENT COLlege ya SUA ,MJINGA WEWE UNA UELEWA UNAKURUPUKA TU ,

asa mbona wewe ulyesoma special school uko muccobs,afu ce 2losoma shule za kawaida 2ko udsm?nikunongoneze 2,nenda pale arusha sec kaulize kijana alyepiga dv one kali kwenye matokeo ya kidato cha 4 mwaka 2009 anaitwa nani,then uende tena pale minaki sec uulzie darasa la HGE lililomaliza mwaka 2012,ni kijana gani alifumua dv one kali.ukimalza huko kote ndo uje uanzishe ligi na mie..kubali we kilaza 2..vipanga wako udsm,mzumbe,muhmbili na sua{main cumpus}sio wewe uko cjui muccobs tena unasoma likozi la kiboya.pimbi wewe,jilaumu kwa kuwa kilaza hadi ukaishia huko ulikotupwa.by the way watu walosoma special schools huwa hawana mambo ya kike kama wewe..
 
WEWE PERR WEWEE KIPINDI KILE ZEDUDUZ ANATOA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA UDSM ,ULIWAHI KUMUULIZA ZE DUDUZ" KWA KOZ ZA BIASHARA WAMECHUKUA MPAKA THREE ?" hilo ni swali ulimuuliza ze duduz ikimaanisha wewe ulikuwa na three

majanga,wenye pesa hawaringi,masikin weng wakiwanacho anaringa anasahau alipotoka
 
asa mbona wewe ulyesoma special school uko muccobs,afu ce 2losoma shule za kawaida 2ko udsm?nikunongoneze 2,nenda pale arusha sec kaulize kijana alyepiga dv one kali kwenye matokeo ya kidato cha 4 mwaka 2009 anaitwa nani,then uende tena pale minaki sec uulzie darasa la hge lililomaliza mwaka 2012,ni kijana gani alifumua dv one kali.ukimalza huko kote ndo uje uanzishe ligi na mie..kubali we kilaza 2..vipanga wako udsm,mzumbe,muhmbili na sua{main cumpus}sio wewe uko cjui muccobs tena unasoma likozi la kiboya.pimbi wewe,jilaumu kwa kuwa kilaza hadi ukaishia huko ulikotupwa.by the way watu walosoma special schools huwa hawana mambo ya kike kama wewe..

hivi kwa nini o level ulienda arusha sec mimi nikaenda mzumbe sec? Halaf tuulete uzi ule wa zeduduz?
 
Hayo maswali ya sifa za kujiunga udsm ziko je.nadhan iko open,udsm wanachukua cream zote zinazotaka kusoma masomo yanayohusiana na uhandisi,uchumi na biashara,sheria,ualimu,na kozi zingne za arts na science..sasa kwa mwaka huu vijana wengi wamepata dv 3 tena zile chafu kitu ambacho kinawanyima sifa ya kuja mjengoni.

anayekupinga namuona wa ajabu
UDSM ni cream tu.
 
asa mbona wewe ulyesoma special school uko muccobs,afu ce 2losoma shule za kawaida 2ko udsm?nikunongoneze 2,nenda pale arusha sec kaulize kijana alyepiga dv one kali kwenye matokeo ya kidato cha 4 mwaka 2009 anaitwa nani,then uende tena pale minaki sec uulzie darasa la hge lililomaliza mwaka 2012,ni kijana gani alifumua dv one kali.ukimalza huko kote ndo uje uanzishe ligi na mie..kubali we kilaza 2..vipanga wako udsm,mzumbe,muhmbili na sua{main cumpus}sio wewe uko cjui muccobs tena unasoma likozi la kiboya.pimbi wewe,jilaumu kwa kuwa kilaza hadi ukaishia huko ulikotupwa.by the way watu walosoma special schools huwa hawana mambo ya kike kama wewe..

kubali wewe ni kilaza tu dadayangu perry ,umepata three yako form6, , nakuuliza tena tuulete uzi wa ze duduz?
 
Back
Top Bottom