Benito Josh
Member
- Jul 30, 2012
- 74
- 14
Okey.. bro nimekupata. Haina haja ya kushindana nao maana wote tuliopo vyuoni lengo letu ni moja regardless mtu anasoma chuo gani.Hawa wafunzi wa UDSM wana dharau sana vyuo vingine na kujiona wao ni kama Havard au MIT .... Mie sikua na lengo la kufikia hapa tulipofikia...