Yaan kwa mada kama izi na watu watanzania wanatokea kukubaliana na ujinga huu ndo nazidi kupata wasiwasi na akili na utu wa mtanzania, yaan watanzania ata mnyama nyumbu anawazidi by far acheni kuishi maisha ya bendera nyie, mlipewa akili bure mzitumie basi yaan unakuta limwanaume linashabikia hiii ujinga kama hautaki wanawake wavae izo nywele kaongee na mke wako ama demu wako tu, mamaako au dadaako wenyewe watakuona kaka sasa unakuwa na tabia za kishoga ata asee, pambaneni na hali zenu huu udikteta pelekeni vyumbani kwenu na muwache watoto wazur wafanye wanavyotaka kwa uhuru wao, umaskini unawatea roho mbaya sana watanzania pambaneni na hali zenu