Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akivaa fyekelea mbali asilete hadithi za kalume kenge ka kataa kwenda shuleNilishamuambia wife ole wako nikuone na wigi, na nashukuru hata ndani kwangu hamna
Mkuu umekuja na hisia kama zote[emoji23][emoji23]
Michubuo naafiki kupigwa marufuku ila mawigi na manywele siafiki
Hivi mamlaka husika hazibain kama ni lotion kaliBora wapige marufuku lotion kali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah... mwingine anavaa wigi ...na ukimwambia ana nywele nzuri...anajibu ahsante....basi huwa naingia bafuni...nachekaaa..Kisha nanawa uso...narudi..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dada unavaa wigi nn?Miwanaume na akili zenu kweli mnachangia hili jiuzi la kijinga?
SHAME ON YOU ALL WALAHI
Kuna watu wana vichwa vya ajab hapa. Watakuwa wanavaa kofia muda woteOhoooo kama nawaona wadada wakianza kuwaza juu ya vichogo ,komwe na kila aina ya kichwa
Itakuwa ni mlengwa si kwa povu hilo alilomwagaDada unavaa wigi nn?
Hahahaha acha kabisa, ngoja tuone wanapokua Really .Kuna watu wana vichwa vya ajab hapa. Watakuwa wanavaa kofia muda wote
Maana kaongea as if ye ndo kaguswa sanaaaaaa.Itakuwa ni mlengwa si kwa povu hilo alilomwaga
Mkuu umetema nyongo si mchezoYaan kwa mada kama izi na watu watanzania wanatokea kukubaliana na ujinga huu ndo nazidi kupata wasiwasi na akili na utu wa mtanzania, yaan watanzania ata mnyama nyumbu anawazidi by far acheni kuishi maisha ya bendera nyie, mlipewa akili bure mzitumie basi yaan unakuta limwanaume linashabikia hiii ujinga kama hautaki wanawake wavae izo nywele kaongee na mke wako ama demu wako tu, mamaako au dadaako wenyewe watakuona kaka sasa unakuwa na tabia za kishoga ata asee, pambaneni na hali zenu huu udikteta pelekeni vyumbani kwenu na muwache watoto wazur wafanye wanavyotaka kwa uhuru wao, umaskini unawatea roho mbaya sana watanzania pambaneni na hali zenu
Kila mtu akiishi atakavyo kutakuwa na maisha tena mkuu? Si itakuwa vurugu kila sehemuJapo sivai mawig lakini nimependa hii comment yako kila mtu aishi atakavyo,yani sijui mwingine akivaa tena hakuhusu inamuuma nini au yakikatazwa atapata faida gani.
Mnafurahia biashara kufa?Naomba hizi tetesi ziwe za kweli aisee. Watumiaji wote anzeni kufanya mazoezi ya kuwa natural, maana pengine na vitu vingine vikazuiwa pia.
Maswala unakuta eti Chausiku nae ananywele hadi mgongoni, au Pili anang'aa usoni alafu viwiko kama aliegemea vumbi la mkaa au oil chafu.
Huu mwaka ndio mwisho wa hayo mambo.
MSISEME HAMKUAMBIWA
Analyse
Binti.... hiyo wigi uliyotundika hapo kwa kichwa yako ni bei ngapi?Mwanaume tafuta pesa acha mambo ya wanawake khaaa, aibu walahi
Mtu mzima ovyo kabisa walahi
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Naomba hizi tetesi ziwe za kweli aisee. Watumiaji wote anzeni kufanya mazoezi ya kuwa natural, maana pengine na vitu vingine vikazuiwa pia.
Maswala unakuta eti Chausiku nae ananywele hadi mgongoni, au Pili anang'aa usoni alafu viwiko kama aliegemea vumbi la mkaa au oil chafu.
Huu mwaka ndio mwisho wa hayo mambo.
MSISEME HAMKUAMBIWA
Analyse