Ukimuacha naomba namba yake mkuu maana mimi napenda madem wanaovaa mawig na wanaopiga makeupUchafu ule bana vichwa vyenyewe hesabu vilishindwa bado mnavalishana mi kamba na nywele za marehemu
Dem wangu hio mambo nikimkuta ndo ticket ya breakup!!
Haina noma mkuu si wajua wanaume hatunyimani...Ukimuacha naomba namba yake mkuu maana mimi napenda madem wanaovaa mawig na wanaopiga makeup
Mkuu umekuja na hisia kama zote[emoji23][emoji23]Yaan kwa mada kama izi na watu watanzania wanatokea kukubaliana na ujinga huu ndo nazidi kupata wasiwasi na akili na utu wa mtanzania, yaan watanzania ata mnyama nyumbu anawazidi by far acheni kuishi maisha ya bendera nyie, mlipewa akili bure mzitumie basi yaan unakuta limwanaume linashabikia hiii ujinga kama hautaki wanawake wavae izo nywele kaongee na mke wako ama demu wako tu, mamaako au dadaako wenyewe watakuona kaka sasa unakuwa na tabia za kishoga ata asee, pambaneni na hali zenu huu udikteta pelekeni vyumbani kwenu na muwache watoto wazur wafanye wanavyotaka kwa uhuru wao, umaskini unawatea roho mbaya sana watanzania pambaneni na hali zenu
Pole kwa yaliyokukuta broh. It seems you are super stressedYaan kwa mada kama izi na watu watanzania wanatokea kukubaliana na ujinga huu ndo nazidi kupata wasiwasi na akili na utu wa mtanzania, yaan watanzania ata mnyama nyumbu anawazidi by far acheni kuishi maisha ya bendera nyie, mlipewa akili bure mzitumie basi yaan unakuta limwanaume linashabikia hiii ujinga kama hautaki wanawake wavae izo nywele kaongee na mke wako ama demu wako tu, mamaako au dadaako wenyewe watakuona kaka sasa unakuwa na tabia za kishoga ata asee, pambaneni na hali zenu huu udikteta pelekeni vyumbani kwenu na muwache watoto wazur wafanye wanavyotaka kwa uhuru wao, umaskini unawatea roho mbaya sana watanzania pambaneni na hali zenu
Izo manywele ni moja ya biashara yangu manPole kwa yaliyokukuta broh. It seems you are super stressed
Japo sivai mawig lakini nimependa hii comment yako kila mtu aishi atakavyo,yani sijui mwingine akivaa tena hakuhusu inamuuma nini au yakikatazwa atapata faida gani.Yaan kwa mada kama izi na watu watanzania wanatokea kukubaliana na ujinga huu ndo nazidi kupata wasiwasi na akili na utu wa mtanzania, yaan watanzania ata mnyama nyumbu anawazidi by far acheni kuishi maisha ya bendera nyie, mlipewa akili bure mzitumie basi yaan unakuta limwanaume linashabikia hiii ujinga kama hautaki wanawake wavae izo nywele kaongee na mke wako ama demu wako tu, mamaako au dadaako wenyewe watakuona kaka sasa unakuwa na tabia za kishoga ata asee, pambaneni na hali zenu huu udikteta pelekeni vyumbani kwenu na muwache watoto wazur wafanye wanavyotaka kwa uhuru wao, umaskini unawatea roho mbaya sana watanzania pambaneni na hali zenu
πππππUmenifanya nimecheka kwa hiyo comment yako [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Sio wivu mkuu, nimewasilisha tu.