Tetesi : Uvaaji na uingizaji mawig nchini kupigwa marufuku ifikapo 2019

Kwahiyo lengo la huo muswada ni kutaka wanawake wawe wanatisha,mi naona wasiulete...
 
Mwanaume tafuta pesa acha mambo ya wanawake khaaa, aibu walahi
Mtu mzima ovyo kabisa walahi
 
Miwanaume na akili zenu kweli mnachangia hili jiuzi la kijinga?
SHAME ON YOU ALL WALAHI
 
Dah... mwingine anavaa wigi ...na ukimwambia ana nywele nzuri...anajibu ahsante....basi huwa naingia bafuni...nachekaaa..Kisha nanawa uso...narudi..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee safi sana......

Labda wasio na nywele kabisa ndio waruhusiwe....
 
Mkuu umetema nyongo si mchezo
 
Japo sivai mawig lakini nimependa hii comment yako kila mtu aishi atakavyo,yani sijui mwingine akivaa tena hakuhusu inamuuma nini au yakikatazwa atapata faida gani.
Kila mtu akiishi atakavyo kutakuwa na maisha tena mkuu? Si itakuwa vurugu kila sehemu
 
Mnafurahia biashara kufa?
Sasa wauza mawigi wataenda kuwa mzigo wa nani?

Hivi vitu vingine wala sio matatizo yetu wananchi tunaoziweka serikali madarakani.

Matatizo yetu ni hospital, elimu bora na maji safi na salama
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…