carnage21
JF-Expert Member
- Jan 24, 2023
- 591
- 1,382
Kwenye #SupaBreakfast ya @EastAfricaRadio Baada ya Waziri wa Afya @ummymwalimu kutaja mambo matatu yatakayo maliza ukimwi, Babu @david.gumbo.5 ametoa maoni yake yanayochangia ugonjwa huo kuenea.
"Nimefanya research ndogo asilimia kubwa ya sisi wanaume hatupendi kutumia mipira (kondomu) mwanamke anaweza akakulazimisha lakini mwanaume akakataa kabisa kwamba mimi situmii na hilo ndilo tatizo na watu wanaoongoza kupima ukimwi hospitalini wanawake wanaongoza, wanaume wanaogopa kwa sababu tunajua matendo yao"
"Unaingia na mwanamke sehemu anauliza kondomu iko wapi, unasema mimi sina kondomu, tutumie kondomu ya nini, tuna shida kubwa kwenye matumizi ya kondomu tukubali tukatae," - Babu @david.gumbo.5
MY TAKE: If una mashaka kuwa kondomu zina side effects its better to abstain from sex au make sure mnapima wewe na mwenza wako kabla hamjashiriki tendo la ndoa.
#end the dread.......stop the spread.
#sex is funny..........don't let it kill you.
#AIDS is like cheap lugagge it stays with you forever.
#Womens :Be beautiful! Be smart! Be stylish! But, protect yourself from HIV.