Tetesi za chini chini zilizonifikia muda si punde zinasema......

Chura churani ndo nini?Za wapi hizo!. Kamati TFF mukuje na huku utovu wa nidhamu unaendelea!
 
"Taarifa isiyo rasmi Muro kahukumiwa mwaka mmoja kutojihusisha na soka pamoja na faini ya shillingi millioni 3" kwa mujibu wa E-FM

My take: Tusubiri taarifa rasmi ya TFF
 
"Taarifa isiyo rasmi Muro kahukumiwa mwaka mmoja kutojihusisha na soka pamoja na faini ya shillingi millioni 3" kwa mujibu wa E-FM

My take: Tusubiri taarifa rasmi ya TFF
Na mimi pia nmeskia hivo
 
kashapigwa umeme tayari,akae benchi mwaka mmoja kwanza ajifunze jinsi ya kuropoka vizuri
 
Tayari TFF ya Malinzi wameshalitia domo lake kufuli kwa mwaka mzima mmoja na mchango Wa million 3 kufidia mapato Yanga walioikosesha TFF kwenye mechi na Mazembe.
 
Hatimaye ile kesi iliyokua ikimkabili Muro ambaye ni msemaji wa Yanga, imetupiliwa mbali na kamati ya maadili ya tff kwa kuwa barua ya vitisho aliyoandikiwa Muro ilikua na mapungufu.
 
Yanga Oyeeee Go Jerry tunajua kuwa Malinza anataka Kujifanya Mungu wa TFF Mpigaji Tu hana Lolote
 
kashapigwa umeme tayari,akae benchi mwaka mmoja kwanza ajifunze jinsi ya kuropoka vizuri
Miezi 12 kifungo cha nje kama Messi. Nafasi yake anakaa Masau Bwile.... Hiyo miezi 12 mtaona kama mwaka.....
 
Tayari TFF ya Malinzi wameshalitia domo lake kufuli kwa mwaka mzima mmoja na mchango Wa million 3 kufidia mapato Yanga walioikosesha TFF kwenye mechi na Mazembe.
Unaweza tia domo la Muro KUFURI lakini huwezi kutia KUFURI matokeo ya Yanga SC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…