Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mimi pia nmeskia hivo"Taarifa isiyo rasmi Muro kahukumiwa mwaka mmoja kutojihusisha na soka pamoja na faini ya shillingi millioni 3" kwa mujibu wa E-FM
My take: Tusubiri taarifa rasmi ya TFF
Hatimaye ile kesi iliyokua ikimkabili Muro ambaye ni msemaji wa Yanga, imetupiliwa mbali na kamati ya maadili ya tff kwa kuwa barua ya vitisho aliyoandikiwa Muro ilikua na mapungufu.
Miezi 12 kifungo cha nje kama Messi. Nafasi yake anakaa Masau Bwile.... Hiyo miezi 12 mtaona kama mwaka.....kashapigwa umeme tayari,akae benchi mwaka mmoja kwanza ajifunze jinsi ya kuropoka vizuri
Unaweza tia domo la Muro KUFURI lakini huwezi kutia KUFURI matokeo ya Yanga SC.Tayari TFF ya Malinzi wameshalitia domo lake kufuli kwa mwaka mzima mmoja na mchango Wa million 3 kufidia mapato Yanga walioikosesha TFF kwenye mechi na Mazembe.
[emoji23][emoji23]Kwani anacheza namba gani?