Ni kwamba jamaa wameshaanza kuandaa kadi za mialiko kwa ajili ya viongozi watakaoudhuria uapishwaji wa presidaa wa tz ajae...ambapo inaelezwa itakuwa kati ya tarehe 3 au 4..ni kwamba ushindi umepangwa kutangazwa usiku na asubuhi inaendelezwa ndani ya wanja la taifa.
Kuna wakati mwingine mimi huwa nashangaa kweli. Hivi kweli nyie watu wa CHADEMA seriously mnadhani kuwa SLAA atashinda? JK atashinda kwa kati ya ASILIMIA 77 NA 87 ya kura zitakazopigwa. Huu ndio ukweli.
Kwa lile robota la kura milioni saba lililonaswa kule Tunduma zenye YES kwa Jk hata kabla kura hatujapiga sitashangaa na utabiri wako huu wa kinajimu.........Bw 1954
obama@jamiiforums.comHivi kuna ajuaye email ya OBAMA?..nataka nimwambie kitu juu ya hili!...
Ni kwamba jamaa wameshaanza kuandaa kadi za mialiko kwa ajili ya viongozi watakaoudhuria uapishwaji wa presidaa wa tz ajae...ambapo inaelezwa itakuwa kati ya tarehe 3 au 4..ni kwamba ushindi umepangwa kutangazwa usiku na asubuhi inaendelezwa ndani ya wanja la taifa.
Hii ndiyo kazi kubwa waliyonayo NEC, kwa sababu ili 'totals' zikubali itawachukua zaidi ya siku tatu, usiku na mchana. Na ndio sababu matokeo yatatangazwa baada ya kelele kubwa kutoka pande mbalimbali. Mpaka tarehe 5 asubuhi matokeo yatakuwa bado hayaleti 'totals' zinazoleta maana.
Watanzania wawe tayari kuona namba kubwa ya kura zitakazoharibika. Hii ni kwa ajili ya kujaribu ku-balance 'figures'.
Waliojiandikisha, waliopiga kura, kura za kuchakachua, kura za 'desperation'. Jamani wahasibu mliobobea jiandaeni kutekwa na TISS(UWT) kumsevu 'cheupe' maana wachakachuaji hawatoshi, na waliopo wako kisiasa zaidi lakini hesabu...zero.
Dawa ya umbea ni viboko.
Ni kwamba jamaa wameshaanza kuandaa kadi za mialiko kwa ajili ya viongozi watakaoudhuria uapishwaji wa presidaa wa tz ajae...ambapo inaelezwa itakuwa kati ya tarehe 3 au 4..ni kwamba ushindi umepangwa kutangazwa usiku na asubuhi inaendelezwa ndani ya wanja la taifa.
Kila mtu atasema lake hata kama ni la uongo ili kumnusuru mgombea anayempenda. Wengine mtatishwa kutekwa na TISS ili tu kuuthibitishia umma kwamba Dr Slaa anaonewa. Chunga sana usiwe mateka wa siasa za maji taka.
Dally, tusigeuze kila kitu tetesi tutakuja onekana JF ni jukwaa la Majungu.Ni kwamba jamaa wameshaanza kuandaa kadi za mialiko kwa ajili ya viongozi watakaoudhuria uapishwaji wa presidaa wa tz ajae...ambapo inaelezwa itakuwa kati ya tarehe 3 au 4..ni kwamba ushindi umepangwa kutangazwa usiku na asubuhi inaendelezwa ndani ya wanja la taifa.