Elections 2010 Tetesi za kutisha

Elections 2010 Tetesi za kutisha

Ni kwamba jamaa wameshaanza kuandaa kadi za mialiko kwa ajili ya viongozi watakaoudhuria uapishwaji wa presidaa wa tz ajae...ambapo inaelezwa itakuwa kati ya tarehe 3 au 4..ni kwamba ushindi umepangwa kutangazwa usiku na asubuhi inaendelezwa ndani ya wanja la taifa.

Trust me, mpaka tarehe 5 asubuhi tume (NEC) watakuwa hawajatangaza mshindi. Put this on record.
 
Kuna wakati mwingine mimi huwa nashangaa kweli. Hivi kweli nyie watu wa CHADEMA seriously mnadhani kuwa SLAA atashinda? JK atashinda kwa kati ya ASILIMIA 77 NA 87 ya kura zitakazopigwa. Huu ndio ukweli.

Kwa lile robota la kura milioni saba lililonaswa kule Tunduma zenye YES kwa Jk hata kabla kura hatujapiga sitashangaa na utabiri wako huu wa kinajimu.........Bw 1954
 
Hii ndiyo kazi kubwa waliyonayo NEC, kwa sababu ili 'totals' zikubali itawachukua zaidi ya siku tatu, usiku na mchana. Na ndio sababu matokeo yatatangazwa baada ya kelele kubwa kutoka pande mbalimbali. Mpaka tarehe 5 asubuhi matokeo yatakuwa bado hayaleti 'totals' zinazoleta maana.

Watanzania wawe tayari kuona namba kubwa ya kura zitakazoharibika. Hii ni kwa ajili ya kujaribu ku-balance 'figures'.

Waliojiandikisha, waliopiga kura, kura za kuchakachua, kura za 'desperation'. Jamani wahasibu mliobobea jiandaeni kutekwa na TISS(UWT) kumsevu 'cheupe' maana wachakachuaji hawatoshi, na waliopo wako kisiasa zaidi lakini hesabu...zero.
 
Ni kwamba jamaa wameshaanza kuandaa kadi za mialiko kwa ajili ya viongozi watakaoudhuria uapishwaji wa presidaa wa tz ajae...ambapo inaelezwa itakuwa kati ya tarehe 3 au 4..ni kwamba ushindi umepangwa kutangazwa usiku na asubuhi inaendelezwa ndani ya wanja la taifa.

Dawa ya umbea ni viboko.
 
Kila mtu atasema lake hata kama ni la uongo ili kumnusuru mgombea anayempenda. Wengine mtatishwa kutekwa na TISS ili tu kuuthibitishia umma kwamba Dr Slaa anaonewa. Chunga sana usiwe mateka wa siasa za maji taka.
 
Tutumie sample za kadi za mialiko kama ni kweli.
 
Kila mtu atasema lake hata kama ni la uongo ili kumnusuru mgombea anayempenda. Wengine mtatishwa kutekwa na TISS ili tu kuuthibitishia umma kwamba Dr Slaa anaonewa. Chunga sana usiwe mateka wa siasa za maji taka.

Nasikia harufu ya kuruta wa TISS. Umeingia Mbweni lini? Mko likizo ndogo kusaidia 'cheupe' kwenye uchakachuaji...... Sasa mbona unachezea kitendea kazi, badala ya kutengeneza data za kuchakachua unaleta mipasho!!!bosi anajua?? amekutuma????

Tanzania ina mikoa mingapi?????
 
Ni kwamba jamaa wameshaanza kuandaa kadi za mialiko kwa ajili ya viongozi watakaoudhuria uapishwaji wa presidaa wa tz ajae...ambapo inaelezwa itakuwa kati ya tarehe 3 au 4..ni kwamba ushindi umepangwa kutangazwa usiku na asubuhi inaendelezwa ndani ya wanja la taifa.
Dally, tusigeuze kila kitu tetesi tutakuja onekana JF ni jukwaa la Majungu.
Tarehe ya Uchaguzi ni October 31. Katiba inasema matokeo ndani ya siku tatu, hivyo J.5 Saa 4:00 asubuhi pale ukumbi wa City Garden ndipo matokeo yatangazwa. Ijumaa Tarehe 5 Saa 4:00 asubuhi, rais anaapishwa Ikulu. Jumatatu inayofuata bunge jipya linakuta, linamchagua spika, katibu wa bunge anamuapisha. Jumanne nzima, wabunge wapya wanaapishwa. Jumanne Saa 10 jioni Jina la Waziri Mkuu linatangawa na spika na kupigiwa kura na bungena atapitishwa. Jumatano Saa 4 asubuhi anaapishwa katika uwanja wa Jamuhuri, Dodoma. Alhamisi bunge linaahirishwa. Ijumaa Baraza la Mawaziri linatangazwa. Jumamosi linaapishwa katika viwanja vya Ikulu. Jumatatu inayofuata, kikao cha kwanza cha baraza la mawaziri, Serikali mpya inaingia rasmi kazini.

Hizi zote ni schedulled events zimeshapangwa na watu wa maadhimisho no matter nani anashinda, tusizigeuze tetesi.
 
Back
Top Bottom