Tetesi za Majjizo kuzaa na Salma Msangi

chakushangaza umekuja kuandika bila kuwaelezea utazani tulio humu wote tuna angaliaga Nirvana
 
Fahyma naskia hizo interview za mara mume wangu this mume wangu that ni kwamba kashaanza pigwa matukio na rayvanny tayari
Wanasema kalkua kamejiachia sana acha wajanja wa town wamkomeshe
Pole yake kama ni kweli mana na dini kashabadili.
Niliona kwa original east sema sikua nimesoma vizuri.
Sasa na Fahima itakuaje?
Wallah mjini mambo ni mengi. Ndo maana ndoa inasua sua kufungwa kumbe kwenye kapeti mambo si shwari
 
Maskini ya Mungu. Kalikua kamejiachia kanajiona mke tayari.
Maana nimeshangaa mume wangu zimekua nyingi kwenye interview zake. Sijui itakuaje akiachika jamani asije kuwa na mascandal tena kama Tessy
Fahyma naskia hizo interview za mara mume wangu this mume wangu that ni kwamba kashaanza pigwa matukio na rayvanny tayari
Wanasema kalkua kamejiachia sana acha wajanja wa town wamkomeshe
Pole yake kama ni kweli mana na dini kashabadili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…