Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Kana akili kale kachaga. Kangeingia mfumo wa baby mama sasa hivi angekua analia na roho yake.
Japo wanasema sio kweli kuhusu hilo.
Salma kazaa na mwanaume aliezaa nae mtoto wa pili
Japo wanasema sio kweli kuhusu hilo.
Salma kazaa na mwanaume aliezaa nae mtoto wa pili
Namsifu Lulu kwa kutobeba mimba mapema