Kubbra Hooda
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 208
- 297
Warda ameolewa na kibopa mmoja wa SMZ ule uzuri umezidi × 10 . Bora alivyojichagulia fungu lililo bora maana angeendekeza life la bongo movie angekuwa kachapika haswaInfact batuli ni mzuri kweli kweli katika hao mastaa wa bongo huyo mtoto batuli ni noma
Pia kuna yule anaitwa warda Walid ni mzuri aisee