Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Matokeo ya Kidato Cha Nne 2014 Yanaweza yakatangazwa target nap? Kwa anaefahamu msaaada please... ..
Uliwahi kutangaziwa tarehe ya kutoka kwa matokeo?
Kumbe tetesi unazo unauliza nini?Kwa tetesi inawezekana tar 29/jan
Na vipi eti wanasema kua matokeo mara hii hayaji kwa namba yanakuja kwa majina eti ni kweli?
kumbe hata form 4 nao ni thinker??? great or junior?
Mtasikia sana mwaka huu,
Katika siku na saa msiyoijua yatatoka.
form 4 leavers kumbe mpo jukwaani hahahaha