Tetesi za Matokeo Kidato cha Nne 2014

Tetesi za Matokeo Kidato cha Nne 2014

Hivi watu hamji funzi miaka yote! Hio ni siri ya baraza sasa ukianza kuliza hvyo unataka kuumizwa roho mengine maswali yana boa sana kwanza hadi sahizi kma ulifanya,mtihani ww unajua matokeo kila mwaka tetesi za uwongo watu bhado mnaendelea kuliza njia rahisi fika barazani waukize
 
Kama umewahi ingia tovuti ya necta wakakuwekea tangazo kuwa kesho matokeo tutatoa endelea kuliza
 
Na vipi eti wanasema kua matokeo mara hii hayaji kwa namba yanakuja kwa majina eti ni kweli?
 
Mtasikia sana mwaka huu,
Katika siku na saa msiyoijua yatatoka.
 
Endelea kusikia great thinker( form 4) vp ushaenda coz ya computer lakin😀😀
 
:llama:Viruka njiaaaa wanao ulizaaaa matokeo ya kidato cha nne kwa sasa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom